Somo: Ukiwa na kazi wala huhongi

Somo: Ukiwa na kazi wala huhongi

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,612
Ebwana mwezi ulioisha yani June nilipata trip ya kikazi jijini mwanza kwa kazi ya mwezi mmoja aisee mwanza kuanzia Ilemela, Mjini, Mabatini,Bugando, Nyegezi etc kuna watoto wazuri sana aisee!

Nimefika tu nikatafuta lodge moja matata sana ila kale kaubaridi ka pale kakanishawishi kitu but mimi nina kiapo sitakuja nunua malaya coz Alhamdulillah sina kasoro yeyote iweje ninunue manzi while najikubali na kujiamini?

Kukakucha bhana nikaanza job ebwanaee bahati nzuri stakeholders wa hiyo kazi niliobahatika kuunganishwa na kukutana nao wengi ni wanawake kwa jinsi tu nilivyotupia suti moja matata sana na mavitambulisho kama matatu hivi yananing'inia shingoni ilikuwa rahisi sana kuwarubuni na kulala nao usiku baada ya kazi.

Wengi nimewarubini sina mke but nina watoto wawili je wataweza kuwalea bila kubagua? Akyanani walikuwa wanajiapisha tu kuwa wataishi nao kama wa kuwazaa aisee Mungu anisamehe mana katika siku 30 nilizokaa mwanza nimekula watoto 21 wote wakiwa under 25 na sijatoa hata sent hata kwa mmoja zaidi ya kunywa na kula pamoja.

NB Condoms zimetumika ipasavyo so ukiiga nyendo hizi hakikisha unakuwa makini la sivyo mimi sijui.

My take;
Vijana msikimbilie gym na kujichubua tu tafuteni kazi mpate hadhi na pesa wala hamtaliwa hela zenu!
Wanawake ukishawaonyesha wewe unajiweza wala hawakusumbui kwa vizinga visivyo na mbele wala nyuma na nimegundua kuwa kumbe saa zingine vile vizinga ni vya kupima uwezo wa mtongozaji but wakiwa na assurance kuwa upo vizuri wala hawasumbui mana nao sikuhizi wanajiweza vile vile.
 
MTU kujitungia uongo na kuuleta jf cku hiz imekuwa ndo fashion..wadada 21 ndani ya cku 30 hahahahaaaa
Sasa huamini nini?
Hata hivyo ni maamuzi ya kupumzika but ningeamua kila siku nilale na mmoja nisingeshindwa
Nitajie ulipo uone kama sikukuli within 24hrs
 
Karibu tena Mwanza.
Misambwanda original balaa, ukiwa huku huwezi kujutia.
Ndiyo maana wengine tunaenda kote lakini mageto yetu ya Mwanza tunalipia hata kodi ya Mwaka mzima.
Nitarudi tena October aisee
 
Bila shaka ulikutana na wadada wa kujiuza sio bure!
Msichana asiyeuza huwezi mtongoza asubuhi ukamla Jioni!!
Ongeza sukari kidogo naenda kuleta vitafunwa
 
Chipu laiki zati, unamtongoza asubuhi jioni unalala nae? Seriously??? God have mercy on us.
 
Back
Top Bottom