Anataka kuoa, hana mahari wala kazi

Anataka kuoa, hana mahari wala kazi

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,777
Reaction score
6,675
Wazee Weekend Kareem.

Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari.

Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao ikafungiwa kuendelea na kazi nchini TZ.

Jamaa hadi Leo hawajalipwa NSSF na hajapata kazi hadi Leo, kapigika kichizi.

Sasa tunamsaidiaje, kaja kuniomba mawazo nimemwambia Naomba masaa mawili Ntakuja na majibu
 
Amvute bila ndoa kama tufanyavyo wengine
Atakuja halalisha akifikisha miaka 50
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aendelee tu chaputa kwani umri umemtupa mkono nguvu zakiume kwake hazina kazi vibibi havina haja yakuridhishwa vyenyewe heshima tu kua Na mume
 
Haha haha haaaaa halafu asinjunji na binti huyo hadi amalizie deni lake la mahari, Maana vinginevyo atamtia mimba halafu ashindwe kulea mtoto
Eeeeh...hakuna minjunjo mnaishi kiaskofu tuu...akimkula deni linaongezeka,.maana hiyo itakuwa dharau sasa ukopeshwe halafu umalize kila kitu..lol
 
Hela ya kula anapata wapiii? Aoe tu ,mambo yatajipanga menyewe
 
huyo sio kijana tena 40yrz ni mingi sanaaa
Wazee Weekend Kareem.

Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari.
Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao ikafungiwa kuendelea na kazi nchini TZ.
Jamaa hadi Leo hawajalipwa NSSF na hajapata kazi hadi Leo, kapigika kichizi.
Sasa tunamsaidiaje, kaja kuniomba mawazo nimemwambia Naomba masaa mawili Ntakuja na majibu
 
Wanawake wapo kibao wa kila namna kama tulivyo tu wanaume, aoe wa aina yake,akipata majukumu akili itaamka tu.
 
Back
Top Bottom