Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi sasa ni 00:36, tupo tunaandika talaka hapa. ----------- Aminini nawaambia, Kuna wakati unaweza ukashikwa na ghadhabu na tetemeko la mwili, pamoja na hasira zenye mvuke. Rafiki yangu kaja...
14 Reactions
84 Replies
8K Views
mwana jf, hivi kuna mtu ashawahi kupata hii feeling, yaani una fall in love kwa mtu, unampenda mtu kupindukia unahisi hayo mapenzi yanamwagika bure yale mabaki unayaelekeza kwa wengine kama mama...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwanini mawifi wanaweza kuoga pamoja,lakini ni ngumu sana kwa mashemeji kuoga pamoja? Kama manavyojua sisi tuishio karibu na mito, mabwaw na maziwa huoga majini. Mara nyingi nimekua nikiona...
6 Reactions
89 Replies
9K Views
Habari zenu wadau wa JF Mimi ni kijana niliye ndani ya ndoa miaka mitatu(3)sasa na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 2 mungu ni mwema sana. Nijiongelee upande wangu kiukweli...
1 Reactions
60 Replies
9K Views
Mambo ndugu zangu, Mwanachama mwenzenu ktk jukwaa letu pendwa nimeingia ugenini RUAHA-KILOMBERO nikiwa mgeni na sijawahi kufika hata siku moja sasa leo siku ya pili upweke unataka kunimaliza.Sasa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wasalaam Nikianza yangu anaanza kunipa maelekezo utadhani mi mtoto mdogo, utamsikia....no sio hapo, ngoja kidogo ooops, enheee hapo hapo, no subili kidogo no speed ooops no yes endelea sasa mbona...
3 Reactions
94 Replies
16K Views
Wewe ni mwananume jasiri na mwenye elimu nzuri tena ya chuo kikuu. Kwa kuwa ulihitimu miaka 6 iliyopita ukiwa na umri wa miaka 24 na kubahatika kupata kazi moja kwa moja, ulijitahidi kuwekeza...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Sijui hata niandike vipi lakin leo nimeamin lisemwalo lipo kama halipo laja Basi jana nimekutana na pisi moja kali kitambo naiwinda jana ikajileta ofisini kwangu nikaona isiwe tabu nikaifanyia...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Ni mkasa wa kweli unaohitaji ushauri wa kweli. Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka 2 sasa. Tulikutana ktk vyombo vya usafiri na kuianza safari ya mapenzi. Lkn tunaishi miji (towns) tofauti...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Ni style gani kwa mwanamke ni rahisi kupata ujauzito? (Kwa wenye ndoa tu)
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani, katika maisha kuna jambo la kupendwa na kupendwa ambapo unatakiwa kujua penda unapopendwa ila usipende usipo pendwa na utambue kwamba ukiwa na mpenzi ambaye moyo wako haujamridhia, muache...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Sam taim wanaume wa kweli tunamsaundisha mtu kama sehemu tu ya mazoezi ya mdomo. Afu cha ajabu sasa, watu wa aina hiyo ambaye hujampenda kwa chochote, ila unakuwa unamtongoza tu kwa lengo la...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu wana MMU. Kwa kweli kuna jambo linanikereketa sana japo muda umepita ila nimeona ni bora kutumia hili jukwaa labda huenda ikasaidia. Ni kuhusu bint mmoja ambae nilikutana nae pale udsm...
3 Reactions
80 Replies
7K Views
Mdogo wangu mtoto wa aunt amekuja kwangu leo asubuhi akilalamika Kwamba mwanaume aliyekuwa anampenda ghafla amekata Kamba baada ya yeye kuwa mjamzito. Anadai mwanaume hataki hata kumuona japo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wadau wa humu ,naamini nyote ni wazima hasa. Twende moja kwa moja. Kwa muda sasa bibi ana ujauzito wa kama mwezi hvi ,ila sasa kiukweli kama mwanaume una roho ndogo unaweza acha nyumba...
17 Reactions
100 Replies
13K Views
I will love you without conditions I will love you without a million Even when your friends are gone, and left you one I will love you when the pot is empty I will love you when you're not so...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Hivi hawa wadada wanaotafuta ndoa kwa upepo wa kisulisuli mbona siwaelewi, ukiwatongoza wanaleta nyodo halafu wanawasumbua viongozi wa dini wawaombee. Sasa lengo lao ni lipi, maana wanaume ndio...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya; 1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza...
19 Reactions
274 Replies
32K Views
Wanaume wengi wawe viongozi wa dini au wa kijamii au wa mitaani ndio huwa wanakomalia kufundisha mwanamke anavyotakiwa kuishi na mwanaume. Ukienda Misikitini unakuta Maimamu na Mashehe ndio...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu zangu, niko kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa na msichana ambaye nimempenda kweli kweli. Plan yangu ni kumfanya mke wangu wakati wowote kuanzia sasa. Tumeshirikiana mambo mengi...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom