Kupenda mpaka ukahisi yanamwagika bure mapenzi

Kupenda mpaka ukahisi yanamwagika bure mapenzi

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,200


mwana jf, hivi kuna mtu ashawahi kupata hii feeling, yaani una fall in love kwa mtu, unampenda mtu kupindukia unahisi hayo mapenzi yanamwagika bure yale mabaki unayaelekeza kwa wengine kama mama, ndugu, jamaa, marafiki, na bado yanabaki unahisi yanabaki unaona ujipende tuu mwenyewe ila yanabaki mengine meeengii, nawamwagia wanajf nawapenda.
Sijui kuna hata mtu mmoja ananielewa??
Ndio feeling ninayojisikia saa hii.
 
Sawa ukiachwa usilie lie humu maana hamchelewi nyie
 
Back
Top Bottom