Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Kwanini mawifi wanaweza kuoga pamoja,lakini ni ngumu sana kwa mashemeji kuoga pamoja? Kama manavyojua sisi tuishio karibu na mito, mabwaw na maziwa huoga majini.
Mara nyingi nimekua nikiona mawifi wanajiachia wakioga pamoja lakini mashemeji (wakiume) ikitokea wakakutana mtoni/ziwani basi itabidi mmoja wapo ampishe mwenzake, je,ni mila na desturi au ni utamaduni?