Msaada Tutani wakuu

Msaada Tutani wakuu

bachelor sugu

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
2,689
Reaction score
3,651
Mambo ndugu zangu,

Mwanachama mwenzenu ktk jukwaa letu pendwa nimeingia ugenini RUAHA-KILOMBERO nikiwa mgeni na sijawahi kufika hata siku moja sasa leo siku ya pili upweke unataka kunimaliza.Sasa kwa kuwa naamini hapa sio kisiwani nitapata msaada wa kampani

Kampani kampani wajameni ila mi sio mnywaji labda soda tu so kampani ya asiye mnywaji ndo inahitajika haswaaaa.

Karibu tufahamiane na kubadilishana mawazo aisee.

Bachelor sugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom