Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

TAMKO LA FAMILIA ILIYOKUMBWA NA MAUAJI JUZI JUMANNE UKWELI KUHUSU CHANZO CHA MAUAJI HAYO. Juzi jumanne asubuhi hapa Dar es salaam kulitokea tukio la kutisha la mauaji na kuliacha jiji hili la...
5 Reactions
83 Replies
13K Views
Ushauri please, Umeoa mke mmeishi miaka 11 na katka maisha yenu ya ndoa mmefaulu kupata watoto wawili ambao kiumri ni wakubwa kidogo wapo shule, lakini miaka ya nyuma umekuwa ukimsaliti mkeo...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakuu kipindi cha nyuma niliwahi pata binti wa Mbeya nikaishi naye huku nikiwa sijui ndugu yake yoyote. Kuna kipindi akawa na kama kiburi ukimsemesha anaweza jibu ama la, nikavumilia siku moja...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu hivi imepita miaka 6 K24 walikuwa wanavipindi Fulani wanawafundisha wanawake sex position vilikuwa vinatangazwa na dada mmoja alikuwa anaitwa getruda mungai viliishiaga wapi vilijulikana...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mabaharia punguzeni kutongoza wake/wapenzi wa watu,Ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Imetokea siku ya leo; nilimruhusu mpenzi wangu asafiri kwa ajili ya kupata matibabu ya macho, na ametumia usafiri...
6 Reactions
86 Replies
8K Views
Aaaaargh nimechukiaaaaaaaaa ,haiwezekani wanaume tusome kwa nguvu halafu lisichana halisomi ila linafaulu kwa kugawa papuchi kwa lecturer Hii haiko sawa hata kidogo ndo chanzo cha kupatikana...
4 Reactions
70 Replies
7K Views
Hivi ulijiskiaje ulippokubaliwa ombi lako na mpenzi wako mara baada ya kuhangaika sana Ulifanyaje ? Ulicheka ,uliruka ruka ,ulimbusu au ulifanyaje ?
4 Reactions
147 Replies
20K Views
Hichi kitu kinaniboa sana, yani dada yangu mzuri nimeenda kumuozesha mtu ambaye hana pesa wala nini. Kazi yake kuniuliza uliza mambo yangu ya chuo lakini kunipa pesa hata senti moja anaionea...
8 Reactions
248 Replies
27K Views
Mabaharia kwa hali hii uwa mnajiandaaje? Unakuta mkeo/mpenzi wako alienda safari ya mbali kwa muda wa miezi sita na tangu aondoke wewe hujachepuka;Sasa leo ndio yuko njiani anakuja, labda baada ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Watu wa Musoma vipi lile chimbo la embassy bado lina watoto wakali au lishasambaratishwa?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna Mtu mmoja nimeona Harusi yake imenisamiwa na Bonge la Tajiri hadi najiuliza hivi siku huyo Tajiri akitaka ' mchezo / mbanduano ' na Mkewe atanyimwa kweli? Naomba niishie hapa tafadhali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wengine dk kadhaa kesha fika namnaenjoy sana! wengine mpaka mwili wote unalowa jasho hata ukizama chumvini bado hawaelekei! hivi tatizo huwa nini?
0 Reactions
140 Replies
18K Views
Unakuta mdada mzuri lakini ana mikucha kama jini ata sijui wakibanwa na haja huko waendako kujistiri huwa wanachambaje au ndio yale yale ya kujipalaza nya(mavi) na tissue, Ndio maana wengine...
8 Reactions
65 Replies
6K Views
Ukiona unatumia staili nyingi kwenye kumi na nane (18) ujue umemgeuza mwenzio kama chombo cha starehe. Na hii imekuwa ni kasumba kwa watu kujisifia; mara popo kanyea mbingu, mbuzi kagoma, chuma...
4 Reactions
73 Replies
14K Views
Yaani ukiona kila mnapomaliza kufanya kazi yake yeye anakimbilia 'fasta' kunawa, huyo ni mjanja sana. Hata kama ni wako inabidi ujiulize sana. Means hataki kitu iingie kunako, anaenda imwaga...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi ni kijana, ujana ni maji ya moto na hapa ndipo hasa unawaka, karbia mwaka wa 4 huu yaani nina tamaa kuliko kawaida ila saivi namshukuru mungu Tamaa yangu hasa, nikilala na msichana mara 2...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu naombeni mnisaidie mawazo, maana kuna kipindi mtu unakua kwenye wakati mgumu mpaka unaona kila uamuzi unaoufanya hauko sahihi. Wakuu hapa nilipo nina mke na tuna watoto wawili. Mwaka 2017...
6 Reactions
126 Replies
12K Views
  • Closed
Hello wana Jf Mimi ni mgeni humu japo ni mwenyeji nimekuwa nikifatilia JamiiForums kwa muda ila leo nimejiunga rasmi haswa kwasababu ya post hii Kiufupi mimi ni mwanamke wa miaka 27 mkristu mrefu...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Umri wangu umeenda, Nina watoto watano. Watoto hao nilizaa na wasichana tofauti nilipokuwa sekondari, chuo na kazini lakini sikubahatika kumuoa yoyote kati yao. Sasa ninahitaji kuoa na nimepata...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Una mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI ...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom