Wadada mtatuacha na boxer tu

Wadada mtatuacha na boxer tu

Sic March

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
690
Reaction score
940
Sijui hata niandike vipi lakin leo nimeamin lisemwalo lipo kama halipo laja

Basi jana nimekutana na pisi moja kali kitambo naiwinda jana ikajileta ofisini kwangu nikaona isiwe tabu nikaifanyia kaz yake fresh nikachukua contact bas nimejielezea vizur ikanambia itanjbu bas leo asubuh ananiomba 10000 nikamwambia hebu njoo hapa job kwanza nikaongea nae vizur akanambia atanijbu

Note:mpka anaiomba pesa hajanipa majbu yakueleweka sasa kwavile mm sio mnyonge nikampa buku 5 halaf akasepa sas hapa najiuliza niwe mnyonge kijanja nile mzigo nijilipe then nikatie njia panda au niwah folen mapema nisijeuza mpk kitanda

Naomben ushaur wenu. Uzi tayar
 
Bila kujibiwa, bila kukubaliwa ombi lako umempa 5000 tayari. Amini wewe mnyonge tayari Kwa Hilo mkuu
 
Wewe bado kinda kwenye game.... ukiwapa watano kama hao hukosi mmoja.

Ila muda mwingine wanawake wanatufanya tunakuwa malaya. Unamtongoza mtu unakuta hakupi jibu la kueleweka.

Unasema aah huyu anasumbua acha nimtafute mwingine. Naye hivyo hivyo.

Unatafuta mwingine. Wa tatu akikukubalia wale wengine wanakuja kukubali...karoho kanasema acha niwaonje kisha niwaache nibaki na mmoja. Mwisho unanogewa.

Ushauri wangu.

Ukitongozwa kubali ila kama unakataa kataa ieleweke sio kuzungushana kama wapiga kampeni wa chama tawala.
 
Akubali haraka haraka
Watu tumalize mchezo mapema kabla jogoo hajawika
 
Mkuu kama hujiwezi usiangaike na wanawake wanaoonekana ni wa gharama, 10k sio nyingi lakini inaonekana wewe huwezi kuafford moja lwa moja kumpatia mtu bila kuowaza,au ulichokuwa unataka uripoti ni tabia yao ya Kuomba hela kabla ya xyz?
 
Wewe afadhali mzee baba mm juzi tu apo kuna manzi imekula kuku nusu, chips na fanta orange moja. Namsikilizia tu hapa.
Hupati kitu hapo
Mistake mnayofanya mnaanza mbwembwe Sana Ndiyo maana mnaombwa pesa

Kuwa simple akiomba pesa hata buku mbili Mwambie Sina Leo

Ila nikipata ntakupa

Daah yan mngekua mmesoma saikiloji kidg tuu ya hawa viumbe msingepata tabu

Kwa taarifa yenu Mwanamke Kama unataka akupende yaan ule upendo wa real

Usimpe pesa siku za mwanzo kwenye Uhusiano

Ila Kama ni chapa ilale toa tuu hizo chapaaa
 
Sio unyonge ndugu ila nimeona elfu tano n pesa ndogo sana na nimempa leo nikijua sitakuja kumpa tena kama hajaliwa mzigo sema mm mtu wa plan hyo ilikuwa kumuonyesha ninazo ila siku nyingne atakutana na plan b
Bila kujibiwa, bila kukubaliwa ombi lako umempa 5000 tayari. Amini wewe mnyonge tayari Kwa Hilo mkuu
 
Hahaha nmempa leo ila hizo siku zilizobak mpk aliwe mzigo kwanza then nauchuna kama sio mm ila akijerekebisha fresh
Wewe bado kinda kwenye game.... ukiwapa watano kama hao hukosi mmoja.

Ila muda mwingine wanawake wanatufanya tunakuwa malaya. Unamtongoza mtu unakuta hakupi jibu la kueleweka.

Unasema aah huyu anasumbua acha nimtafute mwingine. Naye hivyo hivyo.

Unatafuta mwingine. Wa tatu akikukubalia wale wengine wanakuja kukubali...karoho kanasema acha niwaonje kisha niwaache nibaki na mmoja. Mwisho unanogewa.

Ushauri wangu.

Ukitongozwa kubali ila kama unakataa kataa ieleweke sio kuzungushana kama wapiga kampeni wa chama tawala.
 
Kwangu kutoa 10k nampa mwnamke sio kesi n pesa ndogo ila nimempa tu kama sadaka coz alikuwa anaumwa kwahyo nilimpa kama akanunue dawa
 
Huwez kukwepa vizinga cha muhim utoe kwa mpangilio co hata chai hujanywa unapigwa mzinga alf bdae unajutia huo n undezi
 
Duh, mi nlisafiri na sholi toka msoma kuja dar nikamwelewa balaa, ile tunashuka ikabidi nichukue namba mi nikafika hom nikalala, bahati mbaya tulichelewa sana kufika tulifika kama saa 12asubuhi. Saa nne mwanamke anaomba elf kumi nikamwambia ngoja nikiamka nitakutumia, alinisumbua mpaka usingizi ukakata. Nlichofanua ni kumblock nikamgawia namba baharia mmoja huwa haogopi invoice za kijinga
 
Back
Top Bottom