Vituko vya mama kijacho: Nimepikiwa chakula nisichokielewa

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
Habarini wadau wa humu ,naamini nyote ni wazima hasa.

Twende moja kwa moja.

Kwa muda sasa bibi ana ujauzito wa kama mwezi hvi ,ila sasa kiukweli kama mwanaume una roho ndogo unaweza acha nyumba ukakimbia au wakati mmwingine ukatamani ubaki uko kazini.

Nimeona mada nyingi umu wanaume tukilalamika mara huyu sijui natamani kumpiga mja mzito, mara sijui nadharauliwa, sasa hawa wanawake wakiwa kwenye hali hii inabidi tu uwe muelewa la sivyo unaweza ona kama ameadilika na anafanya makusudi ila sio hvyo ndivyo hali yao inawaambia hvyo, unaweza ukaona anakujibu vibaya, aukama anakudharau weww kuwa mpole.

Kwangu mimi kitu cha kwanza nikwenye msosi ,juzi nilipikiwa ndizi zilimenywa ,mchicha ukachambuliwa vikachanganywa vikawekwa jikoni bila mafuta, nyanya wala kitunguu, vikapakuliwa vikatengwa nikamambiwa karibu baby tule, duh nilikaa kama dk 10 hvnawaza naanzaje kula, na hataki nile tofauti na yeye, anataka tule pamoja, Nilichofanya nikazuga baby nina kiu ngoja nichukue juice ya baridi, basinikapata chakushushia, basi sababu ni usiku ikabidi tu nifanye anavyotaka. Siku ikapita, nikiwa kazini napigiwa simu uko wapi, namwambia ndio najiandaa kutoka, naambiwa usipitie kokote njoo nyumbani afu pitia sokoni niletee bamia na parachichi.

Mwanaume nikapitia nikanunua bamia nikasema leo naenda kupikiwa mlenda ngoja nijiongeze nichukue na nyanya chungu, na karoti na nyanya naa kitunguu na tumagadi kwaajili ya mlenda , kabla sijaondoka hapo nikapigiwa cm baby nipitie niko saloon nimeshatoka kazini nimepitia kuosha nywele. Ikanibidi nipitie hapo nimemsubirri mpka katoka usiku.

Sasa mpka naandika hapa kilichopikwa jana sijui niseme ni nini. Baada ya kufika home nikaweka vitu mezani nikadhani nitasifawa kwa kujiongeza kununua vile vitu vingine badala yake nikaambiwa "kwann umeleta nyanya chungu mm sizipendi, sasa nyanya za nini, na makaroti siyataki mimi" nikawa mpole nikaviweka kwenye fridge nkamwambia nilileta kwaajili ya kachumbari, nikajua hapa hamna mlenda tena.

Sasa baada ya muda nikaona maandalizi ya chakula cha jioni yanaanza na vile nilikuwa na njaa nikawa naangalia muvi nikasema acha mama kijacho wangu anipikie ,ebwana nikafwatwa kwenye kochi nkaambiwa unakaa tu unaangalia muvi unaacha mm nateseka jikoni unionei hata huruma nkamwambia haya ngoja nkusaidie kusonga ugali, nikamsaidia. ,sasa hyo mboga ilibidi nikkae kwa mbali niangalie.

Ilichukuliwa bamia ikakatwa katwa kama mtu anataka kupika mlenda, ikawekwakwenye frying pan ,ikawekwa chumvi kijiko kizma chha chai ,nikaea weeee chumvi yotehyo nikamnyang, anya akazira akaenda kukaa nikambembeleza akaja tena akaweka maji kidogo ,nikamwambia mbona mafuta uweki, akasema hapana ,basi vikatokota pale zikatolewa ikaweekwa kwenye bakuli, sasa likachukuliwa parachichi likakatwa katwa likachanganywa humu vikawekwa mezani nikaambiwa karibu ,jamani jamani jamani nilimkatalia nikamwambia hapana siwezi ,usimgeweka parachichi humo ningekula ila hvyo siwezi, nikanuniwa ,basinikachukua maziwa mgando nikala ugali yeye mwenyewe anainjoi na mboga yake duh nikasema kweli wanawake wajawazito wanamateso sana ,ila mwanaume kama hutakuwa makini utamchukia mke wako bure.

Sa kumi usiku nimeamshwa nimpigie pasi nguo ya kazini ,nimemaliza ,nikalala nikaambiwa nimuamshe sa kumi na mbili ,nimemuamsha koga anataka twende wote namwambia sasa mi sa hizi naenda wapi ,ikanibidi tu, ameondoka ,anataka nimpeleke mpka kazini, na haikuwaga hvyo, sa hiz ananiambia nisiende kazini nimpikie kama jana zile bamia niweke na parachichi nimpitishie ndio niende kazini ,jamani kiukweli ni tabu sana

Haya ndio ninayopitia kwa sasa mwenzenu.
 
Mmmh oooh tuu achi ndondo iito ugweje oooh oooh ati atako mpugulo kokoo kukiiimbe ikaa mmh kwerere kuga mananina ikole puku puku amenyinya staki puke abugi akuletee Mimi ehehe aaaah staki eka njua was a was a ataaaa
 
Habarini wadau wa humu ,naamini nyote ni wazima hasa.
Twende moja kwa moja.
Kwa muda sasa bibi ana ujauzito wa kama mwezi hvi ,ila sasa kiukweli kama mwanaume una roho ndogo unaweza acha nyumba ukakimbia au wakati mmwingine ukatamani ubaki uko kazini,
Nimeona mada nyingi umu wanaume tukilalamika mara huyu sijui natamani kumpiga mja mzito, mara sijui nadharauliwa ,sasa hawa wanawake wakiwa kwenye hali hii inabidi tu uwe muelewa la sivyo unaweza ona kama ameadilika na anafanya makusudi ila sio hvyo ndivyo hali yao inawaambia hvyo, unaweza ukaona anakujibu vibaya, aukama anakudharau weww kuwa mpole.
Kwangu mimi kitu cha kwanza nikwenye msosi ,juzi nilipikiwa ndizi zilimenywa ,mchicha ukachambuliwa vikachanganywa vikawekwa jikoni bila mafuta, nyanya wala kitunguu, vikapakuliwa vikatengwa nikamambiwa karibu baby tule, duh nilikaa kama dk 10 hvnawaza naanzaje kula, na hataki nile tofauti na yeye, anataka tule pamoja,
Nilichofanya nikazuga baby nina kiu ngoja nichukue juice ya baridi, basinikapata chakushushia, basi sababu ni usiku ikabidi tu nifanye anavyotaka. Siku ikapita, nikiwa kazini napigiwa simu uko wapi, namwambia ndio najiandaa kutoka, naambiwa usipitie kokote njoo nyumbani afu pitia sokoni niletee bamia na parachichi.
Mwanaume nikapitia nikanunua bamia nikasema leo naenda kupikiwa mlenda ngoja nijiongeze nichukue na nyanya chungu, na karoti na nyanya naa kitunguu na tumagadi kwaajili ya mlenda , kabla sijaondoka hapo nikapigiwa cm baby nipitie niko saloon nimeshatoka kazini nimepitia kuosha nywele. Ikanibidi nipitie hapo nimemsubirri mpka katoka usiku.

Sasa mpka naandika hapa kilichopikwa jana sijui niseme ni nini. Baada ya kufika home nikaweka vitu mezani nikadhani nitasifawa kwa kujiongeza kununua vile vitu vingine badala yake nikaambiwa "kwann umeleta nyanya chungu mm sizipendi, sasa nyanya za nini, na makaroti siyataki mimi" nikawa mpole nikaviweka kwenye fridge nkamwambia nilileta kwaajili ya kachumbari, nikajua hapa hamna mlenda tena,
Sasa baada ya muda nikaona maandalizi ya chakula cha jioni yanaanza na vile nilikuwa na njaa nikawa naangalia muvi nikasema acha mama kijacho wangu anipikie ,ebwana nikafwatwa kwenye kochi nkaambiwa unakaa tu unaangalia muvi unaacha mm nateseka jikoni unionei hata huruma nkamwambia haya ngoja nkusaidie kusonga ugali, nikamsaidia. ,sasa hyo mboga ilibidi nikkae kwa mbali niangalie ,
Ilichukuliwa bamia ikakatwa katwa kama mtu anataka kupika mlenda, ikawekwakwenye frying pan ,ikawekwa chumvi kijiko kizma chha chai ,nikaea weeee chumvi yotehyo nikamnyang, anya akazira akaenda kukaa nikambembeleza akaja tena akaweka maji kidogo ,nikamwambia mbona mafuta uweki, akasema hapana ,basi vikatokota pale zikatolewa ikaweekwa kwenye bakuli, sasa likachukuliwa parachichi likakatwa katwa likachanganywa humu vikawekwa mezani nikaambiwa karibu ,jamani jamani jamani nilimkatalia nikamwambia hapana siwezi ,usimgeweka parachichi humo ningekula ila hvyo siwezi, nikanuniwa ,basinikachukua maziwa mgando nikala ugali yeye mwenyewe anainjoi na mboga yake duh nikasema kweli wanawake wajawazito wanamateso sana ,ila mwanaume kama hutakuwa makini utamchukia mke wako bure.

Sa kumi usiku nimeamshwa nimpigie pasi nguo ya kazini ,nimemaliza ,nikalala nikaambiwa nimuamshe sa kumi na mbili ,nimemuamsha koga anataka twende wote namwambia sasa mi sa hizi naenda wapi ,ikanibidi tu, ameondoka ,anataka nimpeleke mpka kazini, na haikuwaga hvyo, sa hiz ananiambia nisiende kazini nimpikie kama jana zile bamia niweke na parachichi nimpitishie ndio niende kazini ,jamani kiukweli ni tabu sana

Haya ndio ninayopitia kwa sasa mwenzenu.
We unamdekeza tu. Mi wangu mama kija alitaka kutufanya wore tuwe wajawazito nikampiga mkwala asa hv yeye msosi wake ndizi sisi kama kawa.
 
Habarini wadau wa humu ,naamini nyote ni wazima hasa.

Twende moja kwa moja.

Kwa muda sasa bibi ana ujauzito wa kama mwezi hvi ,ila sasa kiukweli kama mwanaume una roho ndogo unaweza acha nyumba ukakimbia au wakati mmwingine ukatamani ubaki uko kazini.

Nimeona mada nyingi umu wanaume tukilalamika mara huyu sijui natamani kumpiga mja mzito, mara sijui nadharauliwa, sasa hawa wanawake wakiwa kwenye hali hii inabidi tu uwe muelewa la sivyo unaweza ona kama ameadilika na anafanya makusudi ila sio hvyo ndivyo hali yao inawaambia hvyo, unaweza ukaona anakujibu vibaya, aukama anakudharau weww kuwa mpole.

Kwangu mimi kitu cha kwanza nikwenye msosi ,juzi nilipikiwa ndizi zilimenywa ,mchicha ukachambuliwa vikachanganywa vikawekwa jikoni bila mafuta, nyanya wala kitunguu, vikapakuliwa vikatengwa nikamambiwa karibu baby tule, duh nilikaa kama dk 10 hvnawaza naanzaje kula, na hataki nile tofauti na yeye, anataka tule pamoja, Nilichofanya nikazuga baby nina kiu ngoja nichukue juice ya baridi, basinikapata chakushushia, basi sababu ni usiku ikabidi tu nifanye anavyotaka. Siku ikapita, nikiwa kazini napigiwa simu uko wapi, namwambia ndio najiandaa kutoka, naambiwa usipitie kokote njoo nyumbani afu pitia sokoni niletee bamia na parachichi.

Mwanaume nikapitia nikanunua bamia nikasema leo naenda kupikiwa mlenda ngoja nijiongeze nichukue na nyanya chungu, na karoti na nyanya naa kitunguu na tumagadi kwaajili ya mlenda , kabla sijaondoka hapo nikapigiwa cm baby nipitie niko saloon nimeshatoka kazini nimepitia kuosha nywele. Ikanibidi nipitie hapo nimemsubirri mpka katoka usiku.

Sasa mpka naandika hapa kilichopikwa jana sijui niseme ni nini. Baada ya kufika home nikaweka vitu mezani nikadhani nitasifawa kwa kujiongeza kununua vile vitu vingine badala yake nikaambiwa "kwann umeleta nyanya chungu mm sizipendi, sasa nyanya za nini, na makaroti siyataki mimi" nikawa mpole nikaviweka kwenye fridge nkamwambia nilileta kwaajili ya kachumbari, nikajua hapa hamna mlenda tena.

Sasa baada ya muda nikaona maandalizi ya chakula cha jioni yanaanza na vile nilikuwa na njaa nikawa naangalia muvi nikasema acha mama kijacho wangu anipikie ,ebwana nikafwatwa kwenye kochi nkaambiwa unakaa tu unaangalia muvi unaacha mm nateseka jikoni unionei hata huruma nkamwambia haya ngoja nkusaidie kusonga ugali, nikamsaidia. ,sasa hyo mboga ilibidi nikkae kwa mbali niangalie.

Ilichukuliwa bamia ikakatwa katwa kama mtu anataka kupika mlenda, ikawekwakwenye frying pan ,ikawekwa chumvi kijiko kizma chha chai ,nikaea weeee chumvi yotehyo nikamnyang, anya akazira akaenda kukaa nikambembeleza akaja tena akaweka maji kidogo ,nikamwambia mbona mafuta uweki, akasema hapana ,basi vikatokota pale zikatolewa ikaweekwa kwenye bakuli, sasa likachukuliwa parachichi likakatwa katwa likachanganywa humu vikawekwa mezani nikaambiwa karibu ,jamani jamani jamani nilimkatalia nikamwambia hapana siwezi ,usimgeweka parachichi humo ningekula ila hvyo siwezi, nikanuniwa ,basinikachukua maziwa mgando nikala ugali yeye mwenyewe anainjoi na mboga yake duh nikasema kweli wanawake wajawazito wanamateso sana ,ila mwanaume kama hutakuwa makini utamchukia mke wako bure.

Sa kumi usiku nimeamshwa nimpigie pasi nguo ya kazini ,nimemaliza ,nikalala nikaambiwa nimuamshe sa kumi na mbili ,nimemuamsha koga anataka twende wote namwambia sasa mi sa hizi naenda wapi ,ikanibidi tu, ameondoka ,anataka nimpeleke mpka kazini, na haikuwaga hvyo, sa hiz ananiambia nisiende kazini nimpikie kama jana zile bamia niweke na parachichi nimpitishie ndio niende kazini ,jamani kiukweli ni tabu sana

Haya ndio ninayopitia kwa sasa mwenzenu.
Atakuendesha Sana huyo, si kila kitu ndio ila muache adeke anapo pa kudekea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom