vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,232
Habari zenu wana MMU. Kwa kweli kuna jambo linanikereketa sana japo muda umepita ila nimeona ni bora kutumia hili jukwaa labda huenda ikasaidia. Ni kuhusu bint mmoja ambae nilikutana nae pale udsm mwaka 2014. Bint X alikuwa ni mwanafunzi wa udsm pale. Bint huyu alikuwa ni mwenye kimo cha wastani na alikuwa ni black beauty na alipenda sana kufuatana na best yake ambae alikuwa analingana nae kwa kimo ila yeye alikuwa ni mweupe pee. Day moja nipo zangu cafeteria napata zangu dinner niko na friend wangu wa kike basi wale mashost wawili na wao walikuja kupata dinner na kutokana na cafe kuwa imejaa kimtindo ikabidi waombe kukaa na sisi basi tukawaruhusu, tukatambulishana vizuri tukaendelea kupata dinner. Kwa bahati yule mwenzangu yeye akawahi kuondoka tukabakia watatu na actually tuliweza kubadilishana contacts. Mimi nilianza kumpiga sound bint X na kawaida yao alionyesha ugumu flani ila nakumbuka siku ile ambayo inaingia new year 2014 tulichat na alikuwa alone nikamwambie njoo hall2 tuwe together tushuhudie new year inaingia, kweli alikuja tukakaa down hall2 pale waiting for new year. Hiyo ndio siku mapenzi yalipyalipoanza na rasmi tukawa wapenzi japo kila mmoja alijuwa wazi ni temporary relation. Bwana eeeh! kuna siku si nikamchukuwa room kwa ajili ya kulitilia mbolea penzi, ile mtoto anavua nguo (kufuli) chumba kizima kilikuwa kinanuka kana kwamba pamekufa mdudu. Nilijikaza kiume na kula papuchi ila hali ilikuwa tete. Sasa balaa siku ya pili alikuja tena na dis time aliniambia nizame chumvini duuh kiukweli niligoma na mapenzi baada ya cku chache yakafa. Ila kilichoniumiza nilishindwa ni vipi nitaweza kumfikishia ujumbe juu ya hili tatizo, hivi nimface direct au nimwambie rafiki yake na ckuweza kujuwa kama ni uchafu binafsi au bacterial infections maana yeye alikuwa mrembo sana kwa muonekano wa nje. Bint X popote ulipo kama unasoma uzi huu samahani sana na utambue kuwa una hili tatizo na litafutie ufumbuzi ila kama ulipata boyfriend au mme na kukuelekeza then good for you.