Kijana unapoamua kuoa mwanamke mrembo, msomi au binti wa kidijitali basi kubaliana na haya...

mussa victor

Senior Member
Jul 12, 2015
116
162
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya;

1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza hata chai ataenda kununua.

2. Usishangae nguo zako kutofuliwa wiki mbili, anaweza kumuita mdogo ake anamlipa afue. Yeye anachart sio na wewe ujue ni shotizo.

3. Kupiga deki sahau kijana mwenzangu. Aanze tu kupinda mgongo. Kama unataka usafi wa nyumba yako tafuta housegirl.

4. Jua kuwa utawahi wewe kuamka, yeye bado kalala. Amechoka kazi za ofisini za jana yake.

5. Bajet ya saloon iwepo ya kila wiki nywele na kucha.

Usilalamike ndo gharama za kufanya maamuzi hayo.
 
...yote hayo hayatatokea km anamaadili na kujitambua..

Ktk pesa ya saluni si umesema ni msomi na ana kazi..!? Kwann mm nimpe pesa ya saluni..nitamweleza atoe km 10% ya salary yake kwa ajili ya shughuli hizo..
 
6. Kumcha Mungu wanaona ushamba maana hata kufunua Biblia hawawezi kwa hiyo wanaume tutegemee familia zilizopoza kiroho na athari yake kubwa watoto hawalelewi katika misingi ya kuliishi neno la Mungu.

7. Wengi wao wanywaji pombe wazuri aka walevi athari yake familia inakuwa na watoto chapombe
you are out of context, kumcha Mungu na kufanya kazi za ndani kuna uhusiano gani, nyinyi nahisi mnakutana na wanawake wa shule ya msingi, huku mjini wapo wanawake wenye professional zao, doctors, wahasibu, wanasheria etc sasa nahao waanze kudeki kama mama wa nyumbani aliyemaliza darasa la saba, acheni ushamba, mje mjini mtoe matongo tongo
 
Mwanamke wa kuoa ni vile unavyomtreat mwenywe tangu mahusiano yenu mnaanza.. Ila usisahau unaweza kuoa huyo asiyesoma au wa kidigital na akabadilika mbele tofaut na ulvyotegemea,aya mambo akili zako za kujiongeza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom