Kati ya mwanamke na mwanaume nani wa kwanza kupenda?

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
619
805
Jamani, katika maisha kuna jambo la kupendwa na kupendwa ambapo unatakiwa kujua penda unapopendwa ila usipende usipo pendwa na utambue kwamba ukiwa na mpenzi ambaye moyo wako haujamridhia, muache kwa maana wenye uhitaji naye watamchukua kuliko kumuumiza katika mchezo wa hisia zake.

SWALI LANGU NI KWAMBA,

Nani wa kwanza kupenda kati ya mwanamke na mwanaume katika maisha ya reality, na siyo kwamba kupenda mtu mpaka umtamkie, ninamaanisha kupenda tu na si vingine.
 
Back
Top Bottom