Mke wangu anashindwa kunimudu

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
631
1,000
Habari zenu wadau wa JF

Mimi ni kijana niliye ndani ya ndoa miaka mitatu(3)sasa na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 2 mungu ni mwema sana.

Nijiongelee upande wangu kiukweli nampenda sana mke wangu hua najitahidi kumtimizia yale ya msingi ambayo kila mwanamke wa kiafrika/Tanzania anahitaji kutimiziwa (Mavazi, chakula, makazi) na mengine mengi bima ya afya n.k.

Kwa upande wake naona ananipenda tu maana sijaona kama kuna tofauti yoyote kati yake na yangu.

Changamoto inakuja katika SEX/ Mapenzi sijisifii hua nikipanda juu sambamba na style/mikao mengine mke wangu anafika kileleni mpaka anaishiwa nguvu inafika wakati namuonea huruma nahisi ntampoteza mke wangu ilihali mimi bado nahitaji kufanya hii inepelekea hata nipunguze siku za kua tunafanya mapenzi/Sex siku tukifanya bado hali ni ile ile. Kiukweli sijafikiria kuchepuka kabisaa ndo mana nikaamua kuweka uzi huu hapa jukwaani nipate mawili matatu kutoka kwa wataalam/maexpati/wakongwe maana humu ndani kuna wajuzi waliobobea katika idara nyingi mbalimbali.

kwa upole kabisaa niikabidhi mada hii mikononi mwenu Wadau kwa ajiri ya maoni/ushauri
Karibuni sana
 

linguistics

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,527
2,000
Huna lolote dogo unataka kuambiwa chepuka.

Yaani hujaoa pa kupata ushauri mpk Uje humu kwa wazinzi?!?!
Unafikiri wanaJF watakushauri la kulinda ndoa yako? Kwa taarifa yako wataleta majimwambafy ya uanaume yasiyo na maana hapa.

Ndoa na iheshimiwe. Heshimu ndoa yako.

BTW mwanaume anayejisifia kufanya tendo la ndoa brobably ana tatizo la kisaikolojia
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
28,693
2,000
Tafuta shughuli za kufanya uwe busy na kazi upunguze kuwaza ngono. Ili hizo mara chache utakazofanya zikutoshe.
Anafanya Ngono Kama Chakula Lazima Achoke, Hajui Suala Siyo Kula Na Kushiba Unamwita Chumbani

Nilikuwa Kasulu Wanaume Wakishiba Wanawaita Wake Zao Ndani, Ngono Mimba
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,550
2,000
Haya tumekusikia kuwa hata kimoja tu huwezi. Fikiri, ka ni kweli. mtu mwenye msuguo huo, miaka 3 una katoto ka 2 yrs. Kweli tamaa za moyo hatari sana. Umeshindwa kumkidhi mkeo bado mu wageni hivi. Ungekuwa unamkojoza kihivyo hapa ungekuja na andiko kuwa tukufundisheje namna ya kukojolea nje kwani kila mwaka ni mtoto. Leo ungelikuwa na watoto 3+.
Acha misifa ya kitoto
 

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
631
1,000
Haya tumekusikia kuwa hata kimoja tu huwezi. Fikiri, ka ni kweli. mtu mwenye msuguo huo, miaka 3 una katoto ka 2 yrs. Kweli tamaa za moyo hatari sana. Umeshindwa kumkidhi mkeo bado mu wageni hivi. Ungekuwa unamkojoza kihivyo hapa ungekuja na andiko kuwa tukufundisheje namna ya kukojolea nje kwani kila mwaka ni mtoto. Leo ungelikuwa na watoto 3+.
Acha misifa ya kitoto
😂 😂 😂 😂 Na wee jisifie
 

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Aug 5, 2017
1,784
2,000
Majukumu yakiwa mengi mbona utaona jinsi swala na kujuana na mkeo linavyopunguza kasi. Kuna nyakati msipoangalia aweza kuwa kama sister yako, manake mnajuana kwa kubeep.

Majukumu ni kitu kingine kabisa...
Huu ndio ukweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom