Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naishi na binti mmoja hivi alishawahi kuwa na mahusiano sasa lakini cha kushangaza kila nikimuuliza ilikuaje mpaka wakaachana na mshkaji hataki kuniambia. Kwa upande wangu sijapenda na isitoshe...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Watu wengi wamekuwa wakifikiri kwamba upweke ni kuwa wao peke yao. Na hivyo ili kuondokana na upweke wamekuwa wakikazana kuhakikisha wanazungukwa na watu wengi. Licha ya kuzungukwa na watu hao...
11 Reactions
44 Replies
11K Views
usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana.... alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Demu nlihangaika naye kinyama kabla ya kumpata.shida kubwa alikuwa na mtu wake nami nikawa nataka angalau basi name nimchore tattoo. Akajichanganya akaja kwangu kucheck movie maana si haba kwangu...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Katika mapenzi suala la kuhonga aliepukiki, na mara nyingi wanawake ndio upenda zaidi kuhongwa ili aweze kumtimizia muhongaji mahitaji yake. Kwa utafiti mdogo nilioufanya...nimekuja kugundua...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Dearest (Name): It is very important for me to express to you how much you really mean to me. I wish I could do this in person while holding you in my arms and gazing into your eyes...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Bila kuwachosa. SMS niliyopokea nii hii hapa chini, then maelezo ya mahusiano yetu yatafuata. " Mambo Powercable, kuna jambo nahitaji ulijue, ni kweli kila kitu kimebadilika...
3 Reactions
98 Replies
10K Views
Habari wana Jamvi, Naamini hapa kuna watu wa aina tofauti na kuna watu pia tuna mahitaji tofauti ila inakuwa shida saana kujua hitaji la mwenzako na ku share naye. Back to the point. Hebu leo...
6 Reactions
126 Replies
11K Views
Kwema wana MMU Niende kwenye mada, Kuna mwanaume mmoja ana mke na watoto wawili, na yupo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa. Ila ndoa ilipofikisha muda wa mwaka mmoja aliingiwa na pepo la uzinzi...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Sio kila Mwanaume aliyafanikiwa kimaisha basi Mwanamke yupo nyuma yake. Kuna Wanaume wanapitia kipindi kigumu sana kuyafikia mafanikio na wapo na Wanawake zao Unakuta Mwanamke huna muda na huyo...
10 Reactions
42 Replies
8K Views
Wengi wenye majina mazuri hata kimuonekano wako wazuri. Hii njia unaweza kuitumia kwa hawa wasiotumia ID halisi...akikutajia jina lake tu, unaweza kujua kama ni kifaa au blablaa. Majina yenyewe ni...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
Habari za jumapili wanajamii forum Kadiri muda unavyozidi kwenda mapenzi yanazidi kuwa ya uongo,watu hawaaminiani,na hata yanazidi kupoteza utamu wake maana siku hizi watu hawaaminiani tena,sio...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Message…nimerudi tena msinichoke maisha ya mahusiano naona ikuumbiwa mm ila kuwa mama ni baraka natafuta mwanaume mkaka mbaba mwenye watt lakn hayupo na.mama watoto wake anaeitaji kusaidiana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Awe mjanja kiasi. Asiwe mshamba mshamba 2. Asiwe ameshika dini kupitiliza 3. Awe mcha Mungu wa dhehebu lolote i.e muislamu/mkiristo even if asiwe na dini it's okay 4. Asiwe muumini wa imani...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Hello guys Kuna hali imentokea hivi karibuni, cjui kama wanaume wenzangu mshakumbana nalo, yani kwa kifupi mm sina stress, pesa ninazo za kunitosha, jogoo wangu anapanda mtungi na kiafya mm ni...
8 Reactions
107 Replies
16K Views
Niongeze sauti tena au tunasikilizana majamaa Ati nakupenda kama ulivyo, huna chochote [emoji849]uwiiii ni uwongo, ningekua jobless tungewezana kweliii???? Tuweni makini woyi.
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari wana MMU Naombeni ushauri wa kimawazo au hata mbinu ya kutumia ili niweze kumfanya mchumba wangu anisamehe kwa makosa niliyomkosea . Nikiri wazi kuwa nimemkosea sana mchumba wangu kwa...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Wanawake wanadhani ukiwa na papuchi ndo kila kitu kwa mwanaume. Huwezi kumtuliza mwanaume kwa papuchi hata umfanyeje. Maoni yangu ni hivi tuache kugegedwa tufanye kazi. Tunainvest resources...
37 Reactions
172 Replies
20K Views
Back
Top Bottom