Wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss...

ERIK

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
623
314
Habari wana Jamvi,

Naamini hapa kuna watu wa aina tofauti na kuna watu pia tuna mahitaji tofauti ila inakuwa shida saana kujua hitaji la mwenzako na ku share naye.

Back to the point. Hebu leo tuambiane kweli wewe ume-miss nini?

Mimi nime-miss kuwa na msichana mrembo kwenye serious relationship, ambaye tutapendana kweli na kuweka future twende kwenye ndoa.

Kama kuna anaye-miss kitu kama mimi basi na tufahamiane hapa au PM maana Mungu anaweza kujibu popote.

NB: Ukiona mtu ka-miss same na wewe mfate PM mfahamiane.

Naomba mrejesho urudi hapa.
 
Back
Top Bottom