She love you because you meet her basic needs

Niongeze sauti tena au tunasikilizana majamaa

Ati nakupenda kama ulivyo, huna chochote

[emoji849]uwiiii ni uwongo, ningekua jobless tungewezana kweliii????
Tuweni makini woyi.
mapenzi yalikuwepo na yatakuwepo hata tukienda dimensions nyingine ,
 
Niongeze sauti tena au tunasikilizana majamaa

Ati nakupenda kama ulivyo, huna chochote

[emoji849]uwiiii ni uwongo, ningekua jobless tungewezana kweliii????
Tuweni makini woyi.
Kubali kuwa mnabadilishana. Unampa basic needs anakupa kei...
 
Ngoja nitafute madesa yangu, nimsome MASLOW na theory yake ile la piradimidisi halafu nirudi tena kwenye hii post kuangalia hizo basic needs mnazotoa wanaume
 
“Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabiri; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote”
 
Tafsiri yoyote ya ya upendo nje na hii ni ubatili
 
Niongeze sauti tena au tunasikilizana majamaa

Ati nakupenda kama ulivyo, huna chochote

[emoji849]uwiiii ni uwongo, ningekua jobless tungewezana kweliii????
Tuweni makini woyi.

Hata Hawa alimpenda Adam wakiwa bustanini kwakuwa Adam aliweza kumhakikishia makazi, malazi, chakula, upendo na mengine, na bado alitoka kwa ubavu wake.
Sasa wewe ndugu yangu, yaani upendwe na mtoto wa watu na ukapuku wako, unaona inawezekana kweli, yaani akupende tu, na huna uwezo hata wa kumhakikishia kula, ulinzi, hana amani, tuacheni ujinga.
Tafuta hela kwa sasa, kwa zamani ulitakiwa kuwa na nguvu, uweze kuwinda na kufanya kazi, kumlinda nk.
 
Back
Top Bottom