Manyanyaso niliyoyapata nilipokuwa naishi kwa ndugu

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
24,541
2,000
Mithali 6:32

MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA,AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE.

ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA.

90% ya matatizo yako na ndg zako/majirani sababu zilikua ni mambo ya Ngono tu.

Nb:Mimi pia sio malaika.

J'Pili Njema wadau.
 

Linko

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
2,075
2,000
Shangazi wewe upumzike kwa Amani! Ulikuwa una mdomo tukiwahi kula una sema tuna tetemeka njaa mara tuna kula kama viwavi jeshi! Nakushukuru kwa malezi yako ume nifanya niwe mpishi mzuri! Na kuto jichanganya hovyo na magroup
Hahahahahahaahahha eti kama viwaviiii
 

Linko

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
2,075
2,000
..........Binadamu mnasaidiwa ila bado mnalialia.

Mngebaki makwenu!!
Sio kusaidiwa mkuu. Maneno yao maana kipindi hichoo mtoto wao alikuja akaka kwetu ila mwisho wa siku aliondoka haja chafuliwa neno hata moja.
 

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,285
2,000
Sio kusaidiwa mkuu. Maneno yao maana kipindi hichoo mtoto wao alikuja akaka
Sio kusaidiwa mkuu. Maneno yao maana kipindi hichoo mtoto wao alikuja akaka kwetu ila mwisho wa siku aliondoka haja chafuliwa neno hata moja.
Ni kawaida ya binadamu hatuna shukrani..

.....................Ndugu wamekusaidia kukuhifandi kipindi unahangaika na maisha leo una kuja kuwachafua huku.

Ubinadamu kazi.
 

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,285
2,000
Ni Maisha Tu Lazima Yawe Na History
Ingawa Wengine Wakifika Kwa Ndugu Wanafanya Tu Dharau Akiambiwa Habadiliki

Mfano Unarudi Home Muda Unaotaka Wewe Mwenyewe, Ukiondoka Unasema Natoka
Hapo Hujaaga
Watu wanasahau kila familia na aina yao ya maisha ukiaamua kwenda kuishi nao ubadirike uishi kwa staili yao.

..................Kama kwenu mnakunywa chai saa moja asubuhi hapa muda wa chai ni saa nne.
 

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
582
1,000
Shangazi wewe upumzike kwa Amani! Ulikuwa una mdomo tukiwahi kula una sema tuna tetemeka njaa mara tuna kula kama viwavi jeshi! Nakushukuru kwa malezi yako ume nifanya niwe mpishi mzuri! Na kuto jichanganya hovyo na magroup
sijui mashangazi huwa wana nini hawa viumbe sijawahi kuona shangazi ambaye hapelekeshi yaani wanajiona kama wao ndio wazazi halisi.
 

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,213
2,000
Ni Maisha Tu Lazima Yawe Na History
Ingawa Wengine Wakifika Kwa Ndugu Wanafanya Tu Dharau Akiambiwa Habadiliki

Mfano Unarudi Home Muda Unaotaka Wewe Mwenyewe, Ukiondoka Unasema Natoka
Hapo Hujaaga
Kuna wale wasiojigusa.......


Anaamka subuhi anaingia facebook

Mwenyeji upige kazi zooote na chai umuandalie

Akila anaacha vyombo anaenda kuangalia movie na kumiliki remote

Mchana umwite ale

Jioni umpikie ale umwoshee vyombo


Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Sep 29, 2019
1,039
2,000
Habari
Kama kuna typing error usi mind sana.

Natumaini kuna watu wamepitia maisha ya kukaa au kulelewa na ndugu kwa mda mfupi au mda mrefu, na lazima kuna mambo ambayo ndugu zako watakuwa walikuwa wanaongea kwa masimango chukia au basi tu ili mradi.

Mimi nimewahii kukaa kwa ndugu kiukwelii nilikuwa mkimya na ni mtu wa watu sana na nilikuwa napiga story na watu tofauti tofauti nikiwa na maana watu wazima mabinti na hata wazee na nilikuwa ni mcheshii kiasi.

Sasa nilivyo ingia kwa ndugu kwa lengo la kuja utafuta maisha neno la kwanza waliniambia wewe hapa ni sawa na nyumbani kuwa na amani kabisa na kuwa huru.

Ila siku zilivyo zidi kwenda maneno yalianza chini kwa chini kuwa mimi nina tabia hizi:

1:kutongoza wanawake ovyo (napenda wanawake sana)
2:mimi ni mlevi balaa (wakati hapo nilikuwa mnywa wa mara moja kwa miezi 6)
3:napenda sana starehe (hii ni baada ya kuona picha za fb)
4:lazima niende motoni(kwakuwa sijawahiii kwenda kanisani tokea nije home na wala kuwa na hisia na kanisa)

Sasa mwanzo nilisikia hivyo nikajua labda ni njia ya kuwalinda mabinti zao hapo nyumbani maana wengi walikuwa ni kuanzia 4m4 na kuendelea.
Siku zikawa zina enda nikawa mkimya kupitilizaa ili kujiepusha na maneno ndo balaa likaanza.

Nakumbuka kuna manzi alikuwa ananiulizia akasema “napenda sana huyu kaka alivyo mpole halafu nilikuwa si mjui kumbe mcheshiii”.

Akawa karibu yangu sana kilichofuata walimfuata na kumwambia kuwa mimi nina ngoma na nime athirika mda sana hapa nilipo namezaa ARV, thanks god Yule demu alinielewa tulienda hadi DISPE tukapimaa na alivyo ona majibu kwa macho yake kuwa ni negative.

Alinitamkia kuwa ijumaa nakuja kulala na wewe na alikuja nikawa nakula sana ndani kwa ndani hahahahaha. Ila alisepaa baadae.

Sasa maisha yameenda nikawa napiga story na majirani kuongea na watu vizuri, balaa lingine likaja likajitokeza kuwa mimi nina:

1:Tembea na wake za watu na hapo waliwataja kabisa na kumbe huyo mama mdg nilikuwa na kaa kwake aliweka na kikao kabisa sema mimi sikuwepo. Ila list niliipata mwanzo mwisho na ukiangalia wote walikuwa wake za watu na jamaa zao walikuwa wananifahamu na hata nisipo onekana lazima waje wanitafute niende nika chill nao tu. Na walikuwa peace

2:Mimi nasambazaUKIMWI kwa majirani

3:Nimetemebea na mama mwenye ukimwi ambaee kila mtu anajuaa kuwa ame athirika.(na huyu alikuwa ni rafiki tu na tena mfanya biashara alinikubalii baada ya kutoa pesa 30,000 mtoto wake akatibiwe na alikuwa hana kitu kipindi hicho)

4:pesa Napata ila zina ishia kwa wanawake (napenda kuhonga sana) wakati kipindi hicho sina hata mia

Jamani kukaa kwa ndugu kazi hasa hawa wanajiita walokolee ni ngumu sana kuishi nao.

Yanii ukiangalia sijawahiii kuwa na tabia kama hizo ila ni wao na uoga wao wakani batiza.

Thanks God saizi maisha fresh na niko na amani.

Toa neno lolote ambalo ume wahiii kusingiziwa au likakufanya mpaka leo uki mkumbuka ndugu yako ulie kaa kwake huna amani,
nimependa hiyo intro "
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom