Siku hizi sina hamu ya kujihusisha kimapenzi na mwanamke yeyote, hivi hii ni kawaida au?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,672
2,000
Hello guys

Kuna hali imentokea hivi karibuni, cjui kama wanaume wenzangu mshakumbana nalo, yani kwa kifupi mm sina stress, pesa ninazo za kunitosha, jogoo wangu anapanda mtungi na kiafya mm ni mzima kabisa..lakini kila nkifikiria kumfuata mwanamke flani nianze nae mahusiano ya kugegedana, baada ya muda motivation inakata kabisa so naacha kumfatilia huyo mdada (mm sio domo zege..coz nshawahi kuwa na girlfriends in the past), hata nkienda barabarani wanakojiuza madada poa, nikiona dada poa mrembo, dushe inasimama ila nikitaka kumfata naanza kuishiwa hamu, naghairi weee mpaka hamu inaisha...

Binafsi sababu ambazo nadhani zimenifanya niwe hivi ,nahisi kisaikolojia nimewachoka wanawake, lyk nawaona wanawake ni michosho tu...au maybe Nina jini mahaba..inaweza pia ikawa ni stage in a life of a man though am not sure.

Kuna wanaume wengine ishawakuta hali kama hii?

NB: Kwa wale mafamba wanaopenda kutwist maana, na kuleta points za kusema hizo ni dalili za kuwa gay, fact ni kwamba I'm 100% straight...
 

doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,171
2,000
Na hisi akili itakuwa imekurudia vizuri,sasa unahofu ya Mungu na ike zambi ya "Amri ya Sita" unapambana kuikwepa kwa juhudi za roho mtakatifu.

Unasema hela zina kutosha una shilling ngapi wewe? Mpka usema unazo za kutosha, maana Bharesa na Mo mpka leo wako busy kusaka sifuri zaidi kwenye accountzao. Hii inaweza kuwa sababu pia japo hutaki kuuikubali labda una meradi au mpango wa mradi kuanzisha !

Au umefika stage ya "Akikua ataaacha" baada ya urafi wa muda mrefu

Mwisho labda uko mbioni ku RIP hivyo unapunguza zambi.
 

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,080
2,000
Natamani hii hali inikumbe mimi. Najaribu tangu nianze kugegeda wanawake sijawahi hata kupata ngao ya kugegeda wanawake,sijawahi kuona hata tofauti na mke wangu na hawa ninaopepesuka nao, gharama za Guest nilizochangia ni nyingi na sijaona faida yoyote. Mungu akusimamie hiyo hali ikomae zaidi kwani hakuna faida yoyote zaidi ya majuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,530
2,000
Umri wako tafadhali.
Ikiwa umeanza kufika miaka 40 hamu inapungua. Pia ukifika 45 ndio unapunguza zaidi akili inakuwa kwa mambo mengine.
 

Markberry1555

Senior Member
Jan 6, 2019
149
250
Write your reply...mmmh, ukikutana na wale malaya wa mafiati, lazima wakunase, maana ni wazuri sana, afu ni wapya kila siku, kuna dada ni big mom pale, matako hayo meupe peee, anajiita.. Annah, duh lazima akunase ukiongea nae tu
 

Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,749
2,000
Watu hawajui tu ila ukipenda sana kula tigo nguvu za kiume zinakupungua na unaona wanawake wote malaya
Hii kitu anayo mtoa mada
Ukiona hvyo usifanye sex kabisa maana itakupunguzia kujiamini
Kaa hvyohvyo hali itarudi yenyewe then acha ushetani wa kula tigo fikiria papuchi

Pia acha kuangalia video za ngono
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom