Katika mapenzi suala la kuhonga haliepukiki

Katika mapenzi suala la kuhonga haliepukiki

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,710
Reaction score
63,393
Katika mapenzi suala la kuhonga aliepukiki, na mara nyingi wanawake ndio upenda zaidi kuhongwa ili aweze kumtimizia muhongaji mahitaji yake. Kwa utafiti mdogo nilioufanya...nimekuja kugundua wanaume walevi ndio wahongaji wazuri, ukilinganisha na wale wasiokuwa walevi. Wale wasiokuwa wanywaji wa pombe kwa asilima kubwa ni wabahili katika uhongaji, ndio maana wanawake wengi wanapenda kuwa karibu na wanaume wanaotumia pombe kwa sababu wanajua matumizi. Je,utafiti huu mnaupokeaje wakuu?
 
Maoni yako ni muhimu mkuu

Mimi binafsi huwa siwezi kuwa na mwanamke bila ya kumpa pesa nahisi kama nimemfanyia ukatili yaani sijui najiskiaje moyoni mwangu.

Japo natokaga na baadhi ya boss ladies hawa huwa sinaga wasi nikiwa nao, coz they can pay everything mpaka mimi mwenyewe, ila kwa mwanamke nisiyejua yukoje kiuchumi siwezi kumuacha bila ya kumpa pesa lazma nimpe hela, inaongeza mapenzi na kukuamini hata siku nyingine ukimuhitaji hawezi kuacha kuja mkuu.

#Showlove.
 
Ukweli Mchungu kwa wanaume tatizo hatutafuti pesa mimi mke wangu niliyeoa nilikutana naye club nakumbuka nilitumia kama 100k kwake siku iyo siku nyingine nikaenda tena club nyingine nikakutana naye tulitumia kama 100k lakini nilichompendea hakuwa anaonekana kama kuna kitu kingine kafata so tukapotezana badae nikawa busy akaanza kunitafuta mwenyewe baada ya kuongea naye nikagundua ana uelewa wa mambo mengi mno nje ya mambo yake ya kupenda starehe nikavuta nikaoa sikuamini kama anaweza kuwa mke bora kabisa na hana usumbufu wowote wa pesa kwa sasa maana wote tunazitafuta na hana kabisa mambo ya ovyo kama nilivyomfikilia mwanzo! ila siku moja moja nikifeel uwa namtoa kukumbushia mambo yake very very fantastic wife material mpaka mwenyewe uwa nashangaa. so mwanamke mwanzo mpe pesa na usionyeshe kama unataka kitu kwake mapema yeye atakufata tu.
 
Ni kweli, ukiwa weak kiasi cha pombe kukuongoza hata mwanamke ni rahis kukuongoza hizo ni weakness zinazofatana.

Ila kwa wanaolewa kiakili, walevi wa kisasa ndio mabaharia wenyewe.
 
Mimi binafsi huwa siwezi kuwa na mwanamke bila ya kumpa pesa nahisi kama nimemfanyia ukatili yaani sijui najiskiaje moyoni mwangu.

Japo natokaga na baadhi ya boss ladies hawa huwa sinaga wasi nikiwa nao, coz they can pay everything mpaka mimi mwenyewe, ila kwa mwanamke nisiyejua yukoje kiuchumi siwezi kumuacha bila ya kumpa pesa lazma nimpe hela, inaongeza mapenzi na jukuamini hata siku nyingine ukimuhitaji hawezi kuacha kuja mkuu.

#Showlove.
Kweli mkuu,mapenzi ni kugaramika
 
Katika mapenzi suala la kuhonga aliepukiki, na mara nyingi wanawake ndio upenda zaidi kuhongwa ili aweze kumtimizia muhongaji mahitaji yake. Kwa utafiti mdogo nilioufanya...nimekuja kugundua wanaume walevi ndio wahongaji wazuri, ukilinganisha na wale wasiokuwa walevi. Wale wasiokuwa wanywaji wa pombe kwa asilima kubwa ni wabahili katika uhongaji, ndio maana wanawake wengi wanapenda kuwa karibu na wanaume wanaotumia pombe kwa sababu wanajua matumizi. Je,utafiti huu mnaupokeaje wakuu?
Mia mia kaka.... Sie tusiokunywa tunazibania sana hela zetu
 
Unaweza.soma hapa pia kujiridhisha
IMG-20191113-WA0008.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom