Je, ni sawa mpenzi wangu kukataa kuniambia mahusiano yake ya awali yalivunjika kwasababu ipi?

hashylove

Member
Aug 27, 2019
34
14
Naishi na binti mmoja hivi alishawahi kuwa na mahusiano sasa lakini cha kushangaza kila nikimuuliza ilikuaje mpaka wakaachana na mshkaji hataki kuniambia.

Kwa upande wangu sijapenda na isitoshe tunataka tuoane ijapokuwa hatujapanga mwezi upi. Kweli wakuu kutakuwa na ndoa hapa au watu wakiwa katika mahusiano wanafichana maana kila nikimuuliza kuhusiana na breakdown yake hataki kuniambia.

Mwenyewe anavyodai ananipenda tena sana Ila kuhusu hilo hatoniambia nimsamehe tu. Je mnavyoona huyu binti atakuwa na upendo wa dhati na ananificha nini.

Naombeni mnisaidie wakuu hapo kwa kweli nipo njia panda. .
 
Sio kila kitu cha kuambiwa tumia utashi wako kumsoma.. unasubiri kuambiwa....!
 
Kama hizi komedi ndiyo unakuja kuzileta hapa mdogo wangu wewe muda wa kuoa bado na hata kama ukiamua kuoa mwaka huu usioe huyo binti.

Anaonekana ana akili na busara kukuzidi utamharibia watoto wake.
Hahaha eti atamharibia watoto wake...
 
Kama hizi komedi ndiyo unakuja kuzileta hapa mdogo wangu wewe muda wa kuoa bado na hata kama ukiamua kuoa mwaka huu usioe huyo binti.

Anaonekana ana akili na busara kukuzidi utamharibia watoto wake.

What a sensible advise! Kudos
 
We si ufuate njia yako unahitaji kujua ya nn? Maana inavyoonekana huyo mtu hataki kukudanganya naww unalazimisha undanganywe
 
Kama hizi komedi ndiyo unakuja kuzileta hapa mdogo wangu wewe muda wa kuoa bado na hata kama ukiamua kuoa mwaka huu usioe huyo binti.

Anaonekana ana akili na busara kukuzidi utamharibia watoto wake.
Kweli tupu!
 
Kama hizi komedi ndiyo unakuja kuzileta hapa mdogo wangu wewe muda wa kuoa bado na hata kama ukiamua kuoa mwaka huu usioe huyo binti.

Anaonekana ana akili na busara kukuzidi utamharibia watoto wake.
Umeongea kweli tupu huyu dogo bado hajakua kiakili kabisaa
 
Naishi na bint mmoja hivi alishawahi kua na mahusiano sasa lakini cha kushangaza kila nikimuuliza ilikuaje mpaka wakaachana na mshkaji hataki kuniambia

Kiupande wangu sijapenda na isitoshe tunataka tuoane ijapokua hatujapanga mwezi upi ...
kweli wakuu kutakua na ndoa hapa au watu wakiwa katika mahusiano wanafichana maana kila nikimuuliza kuhusiana na breakdown yake hataki kuniambia.

Mwenyewe anavyodai ananipenda tena sana Ila kuhusu hilo hatoniambia nimsamehe tu.
Je mnavyoona huyu binti atakua na upendo wa dhati na ananificha nini ..

Naombeni mnisaidie wakuu hapo kwa kweli nipo njia panda. .
We tuambiwa mademu zako mliachana kwasababu gn?
 
Back
Top Bottom