Jensen salamone
JF-Expert Member
- Sep 28, 2019
- 320
- 642
1. Awe mjanja kiasi. Asiwe mshamba mshamba
2. Asiwe ameshika dini kupitiliza
3. Awe mcha Mungu wa dhehebu lolote i.e muislamu/mkiristo even if asiwe na dini it's okay
4. Asiwe muumini wa imani za kishirikina
5. Awe anajua kusoma na kuandika
6. Awe na ujuzi wa fani yoyote
7. Awe na uwezo kufikiria na kufanya maamuzi siyo mambo yote ya kifamilia aniachie mimi nifanye maamuzi
8. Asiwe muha (nina sababu zangu kusema hivyo msije sema ni ukabila NOP)
9. Awe na elimu ya kujitambua
10. Wazazi wake wawe tayari kupokea mahari isiyo fika milioni moja.
11. Aged 20 - 25
12. Asiwe mpenda starehe kupitiliza
13. Awe tayari kufunga ndoa ya kiserikali
14. Asiwe na mtoto wa pembeni. i.e single mother
15. Awe na tabia njema, asiwe na kiburi, dharau na majivuno
*Huyo ndiye mwanamke ninayemtaka*