Yapo wapi mapenzi na mahaba ya kale?

900 itapendeza

Senior Member
Nov 17, 2017
113
103
Wakuu ninze kwa kuwasabahi nyote na matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nipende kujielekeza kwenye maada moja kwa moja.Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana kuwa hivi nini chanzo cha kutoweka kwa mapenzi ya kale kwani kimsingi yalikuwa na changamoto zake lakini pia yalikuwa si pasua kichwa kama mapenzi ya dhama hizi.Nakumbuka zamani ilikuwa si rahisi kwa binti kuomba au kutaka kitu au vitu kutoka kwa mpenzi wake kama ilivyo hivi sasa ,unaomba namba ya binti asubuhi mchana anakuomba vocha ha ha haaa
Zamani mabinti walikuwa wanagoma kabisa kupokea pesa kutoka kwa wapenzi wao kwa madhumuni ya kutunza thamani ya utu na heshima ya penzi lake,lakini sasa duuuuuuuuh wanapiga mpaka paction kwenye mifuko ya suruali za wapenzi wao.
Zamani hususani kulekwetu kijijini zawadi kwa mpenzi ilikuwa ni matunda ya porini,mazao na vyakula vya asili lakini sasa ni vitu vya kwenye masuper markets na shopping kubwaa
Zamani miadi ilikuwa si ya kusumbuana kama sasa mpaka utume nauli sijui pesa ya kujikimu,pesa ya saluni na hata wakatimwingine pesa ya mavazi
Binafsi naikumbuka sana zamani tena kipindi kile cha barua iliyojaa lugha ya staha na usanaa mkubwa bila kusahau michoro ya maua na tenzi za baadhi ya nyimbo pendwa kwa kipindi kile.
Nakumbuka zamani kukutana na mpenzi au mchumba ambae kwao ni ngome ndogo ya ulinzi ilikuwa inahitaji matumizi ya akili sanaa na si hivi sasa vijana wanatumia njia za kisasa pasi na mtumizi makubwa ya akili,naweza toa maoni yangu yakuwa vijana wa sasa si mashujaa wa kutema swaga hata kidogo kama kipidikile sisi unamtokea binti hata mwaka mzima lkn jibu ni bado najifikilia
Swali la kujiuliza je ninani alie iharibu zamani pendwa?
 
Mkuu nakushauri utafute mshiko vizuri ukiupata majibu utayapata sahihi zama zinabadilika pamoja na fikra........kama huna pesa bora uache hayo masuala ya mapenzi jua umesha pitwa nawakati ulipashwa kuondoka na hayati JKN.......
 
Mhuuuuuuu,,,,,mkuu nikwel uyasemayo lakini je hakuna haja ya kuungana na kupinga utapel huu?
 
Back
Top Bottom