Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,639
- 729,577
Wasaidizi wanaoogopeka zaidi na wenye sifa mbaya ndani ya majumba yetu ni wale wa kike. Wengi husingiziwa umalaya. Wengine uchawi na ushirikina. Wezi wa waume za watu (baba wenye Nyumba). Wizi wa vitu vya ndani. Mateso kwa watoto nk
Kesi zao ni nyingi kuliko za ma house boy. Lakini kesi zao nyingi ni nyepesi na nyingi kati ya hizo za mauaji ni kama hakuna kabisa, mauaji ya mama wenye nyumba
Tukipindukia upande wa pili wa ma house boy hawa watu ni hatari sana wenye roho mbaya na katili hasa. Wengi wameshiriki kwenye mauaji ya matajiri wao wa kiume kwa kushawishiwa kwa sehemu kubwa na boss mwanamke, kesi nyingi za namna hii zimetokea sehemu mbalimbali nchini ya karibuni kabisa ikiwa ni ile ya Mabwepande lakini pia bila kusahau ile ya Arusha
Inashanga sana kuwa kolabo ya baba mwenye nyumba na hg haina ukatili na madhara makubwa kama kolabo ya mama mwenye nyumba na house boy
Ndugu jitafakari tu kama nyumbani umeajiri house boy jijue wazi Kuwa unatembea na kifo mkononi