Natafuta mke.

Natafuta mke.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Mimi ni muajiriwa lkn pia ni mfanyakazi wa kampuni kubwa hapa tz umri 33
Nimeoa na nina watoto 2 sasa dini yangu ina niruhusu kuwa na wake 4 sasa 1 niliyenae naona hanitoshi na kipato changu kinaridhisha kuwa na wake 2.
Mke huyo naomba awe muislamu au awe tayari kubadili dini na awe tayari kuishi Mbeya.
Awe mchapa kazi au hata kama muajiriwa.
Asiwe na mtoto.
Umri kuanzia miaka 20-30.
Asiwe mchawi au mshirikina.
Awe mcha mungu sana au akibadili dini awe tayari kuwa mcha mungu.
Awe tayari kumpenda mke mwenzie na familia yake.
Nipo serious na aliye tayari aje inbox kwa usaili.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom