Mungu wangu mdomo unaumba yamenikuta

Mungu wangu mdomo unaumba yamenikuta

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Hope mko poa

Wadau nilikua na mwanamke mmoja hivi nadhani hapa nilishaleta Uzi kuwa simpendi hata kidogo na nimezaa nae mtoto wa kiume ..

Sasa kipindi cha nyuma kidogo nilimpost mwanamke wangu mwingine status whatsapp akawa ameona ile picha akanitumia message akanambia jitahidi.. Alafu nikamjibu ki utani tuu na yeye ana mimba kipindi hicho hakuwa na mimbaa akaniambia sawa nashukuru kwa yote..

Daah wakuu huyu mwanamke niliyena amenasa bwanaa daaa...
Na mm nilkua sina mpango wa kuwa na mtoto mwingine sasa hivii.. Na amefrahi kweli kuwa na mimba yangu..

Niko confused daah na am still young... I have 25+.......

Tuweni makini na maneno tuyowatamkia wenzi wetu..
 
Kwani hiyo mimba ni yako au yake..
Maana yeye ndo kaibeba sasa wewe unasemaje yako
 
Hope mko poa

Wadau nilikua na mwanamke mmoja hivi nadhani hapa nilishaleta Uzi kuwa simpendi hata kidogo na nimezaa nae mtoto wa kiume ..

Sasa kipindi cha nyuma kidogo nilimpost mwanamke wangu mwingine status whatsapp akawa ameona ile picha akanitumia message akanambia jitahidi.. Alafu nikamjibu ki utani tuu na yeye ana mimba kipindi hicho hakuwa na mimbaa akaniambia sawa nashukuru kwa yote..

Daah wakuu huyu mwanamke niliyena amenasa bwanaa daaa...
Na mm nilkua sina mpango wa kuwa na mtoto mwingine sasa hivii.. Na amefrahi kweli kuwa na mimba yangu..

Niko confused daah na am still young... I have 25+.......

Tuweni makini na maneno tuyowatamkia wenzi wetu..
Umechelewa sana,ulitakiwa uwe na watoto tangu ukiwa na miaka 18+
 
enendeni ulimwenguni mkaijaze dunia(utakuwa umeichukua hii kauli literally)
 
Hutumii kinga, huyo mtu unaekutana nae hatumii kalenda wala njia yoyote ya uzazi wa mpango, unavyofikisha weupe unawamwagia ndani halafu bado unashangaa mimba! unasema maneno ndo yaliyoumba!! Mkuu kichwa usikitumie kutenganisha masikio tuu
 
Ungekuwa young ungekuwa unatiana??? Vuna unachoendelea kupanda
Hope mko poa

Wadau nilikua na mwanamke mmoja hivi nadhani hapa nilishaleta Uzi kuwa simpendi hata kidogo na nimezaa nae mtoto wa kiume ..

Sasa kipindi cha nyuma kidogo nilimpost mwanamke wangu mwingine status whatsapp akawa ameona ile picha akanitumia message akanambia jitahidi.. Alafu nikamjibu ki utani tuu na yeye ana mimba kipindi hicho hakuwa na mimbaa akaniambia sawa nashukuru kwa yote..

Daah wakuu huyu mwanamke niliyena amenasa bwanaa daaa...
Na mm nilkua sina mpango wa kuwa na mtoto mwingine sasa hivii.. Na amefrahi kweli kuwa na mimba yangu..

Niko confused daah na am still young... I have 25+.......

Tuweni makini na maneno tuyowatamkia wenzi wetu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom