Ushauri:Nikagongee nyago,mkuyati au Viagra?

Ushauri:Nikagongee nyago,mkuyati au Viagra?

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,367
Reaction score
12,959
Kwa wataalam wa haya mambo asee kuna lidem limenisumbua mda mrefu sana na limekula pesa nyingi aisee...sasa nilipoanza kufulia limeanza kuonesha dalili za kutaka kuruka...sasa namim ninataka

nilikomeshe nimeshaliomba gem limekubali ndo nipo najiuliza hapa niligongee nyagi,mkuyati au Viagra?? Mwenye ma'experience wadau anisaidie kipi bora na kipi kina nguvu zaidi maana mimi kati ya hizo nilishajaribu nyagi tu Zingine bado....ntashukuru
 
Back
Top Bottom