Huyu ni mpenz wangu hasa tulianza mahusiano kama masihara tu eti siku moja alinialika nikaftari yeye ni daktari by profession wanaka nyumba za hospitali pamoja na wenzake asubuhi wanaingia job...
Wakuu habari za jioni
Kwanza naomba niwapongeze kinadada wote wanaojituma kuboresha mapenzi kwa wenza wao.
Pili naomba kuwahusia wale ambao wanapenda kuboresha penzi kwa kufanya mambo hatarishi...
Wanawake ni mama zetu, dada zetu na zaidi wake zetu. Waheshimu wote, walinde na wapende wote. Naposema waheshimu sio uwapigie magoti kama nilivyosema jana huu ni ujinga sio upendo.
Kuwaheshimu...
Binadamu tunakera, kwahiyo solution ni kuwa tajiri tu. Mimi naamini ukiwa tajiri utamuhitaji Mungu tu, kwa ajili ya uzima na afya, ila hautahitaji ndugu, jamaa, marafiki, wala wapenzi. Yani ukiwa...
Bint kila siku anakuja na sabab mpya.sasa ameanza sabab za "sitak ahamie sabab nna ademu wengne"
Samahanin lakin kiukwel bint ni kinganganiz sana
Sijawai mfikiria hata sku1 kua ndo awe dem wangu...
Habari wakuu?Npo serious Nahitaji binti wa kuoa, itapendeza akiwa mwalimu age (20-26) aje tufanye maisha, binafsi mm n mfanyakaz serikalini. Itapendeza zaidi akiwa mkoa wa mbeya au mikoa ya...
Kwenye maisha unapata marafiki mbalimbali wanaokupa experience nyingine, mashauri, upendo na hata msaada kiuchumi. Marafiki huwa ni zawadi toka kwa muumba ndo maana huwezi pata rafiki kwa...
Wengi ni baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne. Mzee anataka ufahamu mila za kwao, wengine ni kwa utukutu uliozidi wazazi wanaamua kukupeleka bush ukiwa unasubiri majibu.
Kule kijijini...
Ameniulizia juu ya kutaka maendeleo yangu ya kila siku, sababu tupo mbali kidogo na yeye na jana sikuongea nae. Nikamjibu jinsi maendeleo yangu yalivyo poa poa na maelezo machache. Then akaniuliza...
wiki jana nilipewa chansi na Manzi nilie msotea ndani ya wiki kadhaa nyuma..
nafasi sikuipokea kwa hali ya kawaida bali kwa presha kubwa.
kwanza nilipewa namba kama zali tu.
umbo lake...
Weekend ndiyo hiyooo inaishia. Basis kichwa cha habari kinajieleza hapo juu.
Yapo baadhi ya mambo huwa tunayafanya kwenye mahusiano kutokana na aina ya Wenza tulionao vinavyosababishwa na Mambo...
Ukatili wa kingono unaofanywa dhidi ya watoto bado ni tatizo kubwa hapa nchini. Hii ni kutokana na ukweli kwamba tatizo hili hujitokeza katika sura tofauti na kwa nyakati zisizotarajiwa. Jambo la...
Nilimtongoza huyu mrembo baada ya kuvutiwa nae yapata wiki mbili sasa na kunjibu sawa nimekuelewa.
Kinachonichanganya hanijibu directly kama ameshanielewa pia, na isitoshe charting anarespond...
I can forgive when I realize carrying around anger is pointless. That being said, however, true me never forgets, not someone who intentionally tried to harm Me or hurt Me. Never. The truth...
Habari wanandugu,
Nina bro wangu anatafuta girlfriend
Amejiajiri na umri wake ni miaka 36. Ni mkristo. Naandika ili iwasaidie wale wanaopendelea watu wa upande wao lakini yeye habagui dini.
Kama...
Kuna huyu mama alipata mimba akiwa chuo. Alitaka kuitoa ile mimba lakini wazazi wake waliposikia habari hizo walijitahidi kwa uwezo wao kumsaidia binti mpaka alijifungua. Mama yake alimlea...
Habarini ....mimi ni kijana umri 28...ila sina mahusiano kabsa ila najikuta sipati usingizi adi saa nane au tisa usiku nipo tuu jf na mitandao mengine an all of time nasoma thread za mapenz au...
Si wakati wa kumcheka ama kumsimanga bali ni wakati wa kumsaidia kwa kila hali... Haya anayopitia yanahitaji faraja na kupewa moyo... Lakini ni lazima tafakuri iwepo ili tupate cha kujifunza.
Ni...