alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,369
- 3,177
Ameniulizia juu ya kutaka maendeleo yangu ya kila siku, sababu tupo mbali kidogo na yeye na jana sikuongea nae. Nikamjibu jinsi maendeleo yangu yalivyo poa poa na maelezo machache. Then akaniuliza juu ya maswala yangu ya biashara nikamjibu ni poa japo nimesuasua kidogo.
Akanambia mimi ni muongo na si mkweli kua nam ongopea, kauli kama hii kunambia si mara ya kwanza, kidogo nikakwazika nikamjibu it’s okay kama unaona nakuongopea then nikamwambia ni kheri niwe muongo rasmi ili uone ni ukweli kuliko kukueleza kweli wewe useme uongo.
Akajibu kama ni hivyo hamna haja ya uhusiano, nikamwambia wewe uonavyo tu, then akajibu Mimi naona hivyo ni sawa kwangu finally nikamwambia it’s okay. Ikawa hivyo na kila mtu aangalie ustaarabu wake
Sijaumizwa juu ya hilo ila nimeshangazwa na majibu ya mwenzangu na mitazamo yake sana nakua muwazi kwake lakini mwenzangu anaona si mkweli na ninamdanganya. Nimeona nikae kimya tu
Nawasilisha wakuu...