Respect, Protect and Love women but never take advice from a woman

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Wanawake ni mama zetu, dada zetu na zaidi wake zetu. Waheshimu wote, walinde na wapende wote. Naposema waheshimu sio uwapigie magoti kama nilivyosema jana huu ni ujinga sio upendo.

Kuwaheshimu ni kutambua umuhimu wao, kuwalinda ni kuzuia mabaya yoyote yanayotishia amani au furaha yao, kuwapenda nikuwepo kwa ajili yao na kuwapa, kuwapa nini ? Kila kitu mahtaji yao yote, nitazungumzia majukumu ya mwanaume siku nyingine ila kua nalo akilini ni jukumu lako kumpa mwanamke mahtaji yake yote hapa natofautiana na wale wanaume wanaoamini katika "kusaidiana" maisha na mwanamke, ndo maana mnadhalilishwa na wake zenu wavivu nyie.

Ok fanya yote tajwa ila usichukue ushauri wa mwanamke. Msikilize tena msikilize kwa makini tikisa kichwa mpongeze kwa mawazo yake ila usiyafuate mawazo yake.

Wanawake hutumia hisia kuamua mambo na sio fikra huru, mawazo yao yanaamuliwa na hisia zao ndo maana asubuhi atacheka mchana kanuna bila sababu jioni anabonga stori kama cherehani ya mjerumani.

Wanawake hawako vizuri katika vipimo na makadirio hili huwafanya mawazo yao kua yakufikirika tu na sio kutekelezeka. Ila narudia mpe usikivu, we msikilize hata kama atabwabwaja masaa mawili msikilize tena kwa makini akitoka hapo roho yake nyeupee.

Ukitaka biashara yako ifilisike sikiliza ushauri wa wanawake. Ukitaka ndoa yako ife kibudu fuata ushauri wa wanawake juu ya kuendesha familia na ndoa yako, yani unamuuliza samaki jinsi ya kutega na kufuga samaki unategemea kufaulu ?!

Peace be upon you all.
 
Sasa anakuwa mke wangu ili iweje kama hatukai na kushauriana? Kama kuzalisha naweza na yoyote, but living with her means so much to me. Nyie motivational speakers mna mambo sana miaka hii.
 
"Katika kila mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" hii imekaaje aisee
Unapokwenda kutafuta anakuandalia mavazi na chakula unapata nguvu za kupiga "deiwaka" ukirudi anakupa tunda la ndoa unapoza machungu ya kazi nzito.

Hiyo ndio maana yake, sio yeye ndo akupe mikakati ya namna ya kupiga "deiwaka" sijui ninaeleweka hapa ?!
 
Mkuu kwani motivational speaker yukoje koje, koz I can see your ins qualifying to,,,
I aint motivational nobody bro, motivational speakers wanamotivate ndo maana wanaitwa "motivational speakers or figures" sasa mimi nimemotivate nini ?! Mimi nime elimisha/educate or enlighten. Au mkuu haujui maana ya ku "motivate"?!
 
Wacha rotion,
Niko na heleni na bikin ya baba ako.
Rudi shule kasome ndo uje ucoment vizuri ueleweke. Kuacha shule darasa la tatu B ndo maana leo huwezI kutofautisha "R" na "L"
 
Kuna mwalimu wangu alikuwa anatuambiaga akiangalia behavior na attitude za wanafunzi wake anajua level ya elimu ya mama ake na kweli alikuwa hakosei. Sasa wewe unaona usichukue ushauri wa wanawake si kosa lako bali ni familia uliyotoka.
 
Sikililiza mawazo yao, chambua then amua kwa kadri utakavyoona inafaa na si kuamua based on their advice
 
Si uko busy unatumotivate tusiyachukulie serious mawazo na maoni ya wanawake,au unafanyaje hapa?
I aint motivational nobody bro, motivational speakers wanamotivate ndo maana wanaitwa "motivational speakers or figures" sasa mimi nimemotivate nini ?! Mimi nime elimisha/educate or enlighten. Au mkuu haujui maana ya ku "motivate"?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom