Unafosi vip kuhamia kwangu wakati mimi sitaki

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Bint kila siku anakuja na sabab mpya.sasa ameanza sabab za "sitak ahamie sabab nna ademu wengne"

Samahanin lakin kiukwel bint ni kinganganiz sana

Sijawai mfikiria hata sku1 kua ndo awe dem wangu /mchumba

Hyo mitattoo mi namtambulishaje kwa watu wa maana jamen

Skatai anasema alichora zaman na anajutia,ila kwetu bongo mwanamke mwenye tattoo ni ishu nyingne

Mim siwez kiukwel siwezii,huyu dem ni mkali kila idara,tatzo ni hzo tattoo,

Na amengangania a move in sasa hiv mim kwel mdugu zangu wakute mitatoo kwel si aibu,ukizingatia mdingi ni mzee wa kanisa na mama ni ndo kabsaaaa,anashinda church

Daah
Uzi tayar
 
KINACHONISHANGAZA ANASEMA SIO DEMU WAKE WAKATI KILA MARA ANAKWENDA KWAKE NA ANATAKA KUHAMIA KABISA
 
Sabab ana mvuto wa kimapenz lengo lilikua kulana tuu na sio serious,mwaka sasa
 
Bint kila siku anakuja na sabab mpya.sasa ameanza sabab za "sitak ahamie sabab nna ademu wengne"

Samahanin lakin kiukwel bint ni kinganganiz sana

Sijawai mfikiria hata sku1 kua ndo awe dem wangu /mchumba

Hyo mitattoo mi namtambulishaje kwa watu wa maana jamen

Skatai anasema alichora zaman na anajutia,ila kwetu bongo mwanamke mwenye tattoo ni ishu nyingne

Mim siwez kiukwel siwezii,huyu dem ni mkali kila idara,tatzo ni hzo tattoo,

Na amengangania a move in sasa hiv mim kwel mdugu zangu wakute mitatoo kwel si aibu,ukizingatia mdingi ni mzee wa kanisa na mama ni ndo kabsaaaa,anashinda church

Daah
Uzi tayar
Hili nalo jipya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], akija tena mchome kisu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom