Wapata ajali baada ya kufanya mapenzi wakiwa wanaendesha gari

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,287
Wakuu habari za jioni

Kwanza naomba niwapongeze kinadada wote wanaojituma kuboresha mapenzi kwa wenza wao.

Pili naomba kuwahusia wale ambao wanapenda kuboresha penzi kwa kufanya mambo hatarishi ili kuwaridhisha wenza wao.

Walikuwa wanafanya mapenzi wakati gari ikiwa kwenye mwendo, Lakini kama mnavyojua wa moja havai mbili, gafla mwanaume akapoteza uwelekeo hali iliyopelekea gari kupata ajali na mauti kuwafika.
IMG-20170424-WA0012.jpg
IMG-20170424-WA0011.jpg
IMG-20170424-WA0010.jpg


=======

Police Officer And His Female Companion Die While ‘Having Sèx’ In A Moving Car

A police officer and his alleged lover have lost their lives in an auto crash while they were reportedly having sex on wheels.
ja2.jpg

The policeman, whose identity was given as Constable Ramon Stephens, attached to the Motorized Patrol Unit alongside the woman identified as Kodian – Kody, died from injuries they sustained in the tragic accident.

According to reports, the two dead victims were found naked.

Eyewitnesses said the car was travelling at a very high speed and lost control, probably at the climax of the sex. The incident happened in the western parts of the Island, along the North-South link of Highway, Jamaica.

*Police officer, female lover die while having sex in a moving car |
 
Huku ni sawa na kurusha mawe kwenye mzinga wa nyuki jamani.
Binadamu tunajisahau sana
R.I.P wapendwa
 
Ha ha ha, ilishatokea tamga hiyo.

Jamaa alikua anaiba mke wa mtu..

Kamchukua anaenda kupiga mzigo muheza, wapo kati ya safari wakaona waanze kunogesha,

Balaa !! Demu akaanza ku suck ile makitu ya jamaa, jamaa sijui kazidiwa ugwadu. Chombo kuleee.

Walikutw Ivo ivo yan dushe lipo mdomon mwa demu..

"wataalamu wa mambo wakasema ni tego"
 
Back
Top Bottom