Wanaume wenzangu naomba tupeane njia za kukwepa haya mabomu

Sic March

JF-Expert Member
Mar 2, 2019
690
895
Naomba kuwasilisha wana jamv wenzangu

Wanaume wenzangu naomba tupeane njia za kukwep haya mabomu tunayoanza pigwa msimu huu
 
"Mambow my "

"Waow nimekumiss"

"Hi dear "

"Mleviwangu" yaani hapo aanze na jina lako kwenye text yake

"Unajua nini my "

"Hivi Leo tarehe ngapi"

Kwa kipindi cha mwezi huu hzo text zikianza kuingia au kuzipata kabla ya wewe kumtext namaanisha akianza kukutumia wewe usijibu zima simu

Ukipata hzo response baada ya kuanza kutext wewe apo kuna probability

Sikukuu njema mkuu nitakuwa baa na mpenzi wangu pombe nikilewa bila kusahau kununulia watu vinjwaji maisha ni mafupi enjoy mkuu
 
There is only one way, mtafuta mwenyewe kwanza na umtumie au umpe hela ambayo utaona haitakuuma umpe,mfano labda elfu 10 au 20 au 50k it depend na uwezo wako wa kumpa,then baada ya kumpa mwambie huu mwez umepata loss/unatarajia loss au kuna hela fulani nadaiwa natakiwa kupambana sana usiku na mchana ili niipate mfano kodi,au deni au michango n.k

Kwa kufanya hivyo unamuandaa kisaikolojia ili asikudai nzawadi za msimu huu wala kukuomba hela,hapo anajisemea yaani jamaa anaonekana ana shida ya hela lakini bado kanipa elf 20(mfano) ngoja kwanza nimuache ache mpka mwez wa pili 😂😂😂
 
jay311, Inategemeana na mwanmke mwenyew ndug hujawah ona mwanaune kalazwa lakn mwanamke anaomba matumizi
 
Hata zile za kwamba "naumwa". Ujua kuna maboya wenzako ka 25 ivi wamefowadiwa msg ya ivo.
 
no way huu ndo msimu wavidume kutoboka, kumbuka kugharamia ndo uanaume....
kama unakwepa basi wewe bado nikavulana
 
Naomba kuwasilisha wana jamv wenzangu

Wanaume wenzangu naomba tupeane njia za kukwep haya mabomu tunayoanza pigwa msimu huu
Hakuna kuwakwepa tena mwezi huu ndiyo wa kuwatafuna vizuri.

Mwezi December hadi March wengi wanakuwa na matumizi mengi kuzidi vipato vyao!
 
There is only one way, mtafuta mwenyewe kwanza na umtumie au umpe hela ambayo utaona haitakuuma umpe,mfano labda elfu 10 au 20 au 50k it depend na uwezo wako wa kumpa,then baada ya kumpa mwambie huu mwez umepata loss/unatarajia loss au kuna hela fulani nadaiwa natakiwa kupambana sana usiku na mchana ili niipate mfano kodi,au deni au michango n.k

Kwa kufanya hivyo unamuandaa kisaikolojia ili asikudai nzawadi za msimu huu wala kukuomba hela,hapo anajisemea yaani jamaa anaonekana ana shida ya hela lakini bado kanipa elf 20(mfano) ngoja kwanza nimuache ache mpka mwez wa pili 😂😂😂
Jafariji tu
 
Back
Top Bottom