Mwanamke, thamani ya Ulimwengu!

Nov 27, 2019
75
112
Baada ya kuona jamii inavuka ule mpaka wa kumrekebisha mwanamke na kugeuka kuwa kumsimanga mwanamke, nimeonelea kutoa angalizo lifuatalo.

Sisemi kwamba wasikosolewe, ninachosema ni wasionewe maana "women are naturally expensive, take the one you can afford and stop saying that they love money"

Kiukweli hata wanaume tunapenda pesa, ni uhalisia tu kwamba sisi ndio tunazitafuta wenyewe na wao inabidi tu tuwape. Sasa linalotokea ni kwamba wengi wetu hutafuta wanawake ambao hatuwawezi (kugharamia mahitaji yao). Na hii ndio sababu wale wenye pesa haswa kwenye jamii yetu hutoskia wakilalama kwamba women love money.

Nawasilisha wakuu!!!
 
hilo angalizo baki nalo mwenyewe mkuu tu...
 
Loooh..
Kweli if you can't beat them, Join them..
Umeamua uunge mkono juhudi
 
ushauri wangu kwako mleta uzi
"KUA UYAONE"
unadhani wanaowapga risasi wanapenda hawa viumbe hawafadhiliki
 
Shida ni moja,,
kuna wapumbavu ambao wao kupitia hizo pesa, niwanatia kitumbua mchanga na kukimbia.
BIG BRAIN MATTER MORE
 
Tupo hapa tunakodoa macho tu bibie
Na wote tuseme Ameeeeeen!!

Haya wale mafurushi mkuje kuna ujumbe wenu huku.

Tusalimie lile furushi lenzetu uliloliacha pale nyumban nadhan litakuwa lishatoka kazini
 
Back
Top Bottom