Ni kweli kuwa kwa namna hii unaweza kumzuia mpenzi wako asichepuke?

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,496
5,693
Habari za muda huu,

Kuna kauzushi fulani aliniambiaga girlfriend wangu fulani wakati huo. Yeye ni mtu wa Kondoa, yaani Mrangi

Aliniambia kama umekwich kwich na Mwanaume, halafu ukamfuta na kutambaa kwenye uume na wewe mwanamke ukajifuta kwenye uke wako halafu ukafunga fundo kile kitambaa ukaweka labda kabatini basi jamaa akienda kulala na Mwanamke mwingine, uume hausimami. Ila kwako inasimama

Je, Wanawake kuna ukweli wowote katika hili?

Niko kando nakunywa Al kasusu yangu hapa maskani nasubiria majibu yenu wote mnaofahamu hili

CC: Wanawake woote wa JamiiForums
 
Back
Top Bottom