Mdogo wangu anatafuta mchumba

Queen Latifah

Member
Oct 20, 2019
29
75
Mambo zenu,nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo na anatafuta mtu serious
He is 24 black and tall
Hii ni kwa wadada tu I want to do him a favor
Pm me if interested
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,586
2,000

Mayor Slum

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
694
1,000
Chuo kuna mademu wengi tu wakujileta wewe unajiongeza amekosa hata huku aseh Chuo mademu hadi unawakimbia hakuona demu huko kweli duh dub
 

Chinedu5

JF-Expert Member
Apr 20, 2015
722
1,000
mbona kama mwandiko wa kiumeisije ikawa umeingia kwa id ya dada ako kujipigia chapuo
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
27,701
2,000
Huko chuo hakuona mwanamke wa kuwa nae, na Ina maana hajawahi kufanya mapenzi kuwa bado bikra eeeh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom