Natafuta mke

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,768
Mi nikijana mwenye miaka 29
Rangi yangu: Light skin
Kimo: 5’8
Dini: Mkristo
Msukuma kwa kabila, nimemaliza chuo 2017 na kupata shahada yangu ya kwanza. Nimwajiliwa serikalini.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu tumeachana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Sasa nipo single, natafuta mwanamke atakaye kuwa mke kama yeye ataridhia kuwa nami.

Mwanamke huyu napenda awe na sifa zifuatazo
Dini: Mkristo
Urefu: Awe mrefu kiasi (katikati)
Rangi: Rangi yoyote yanifaa ila akiwa Black beauty itependeza zaidi.
Elimu:
Elimu yake iwe diploma au degree, mwenye masters nakuendelea HAPANA sitaki kufa mapema
Kazi: Awe ameajiliwa au kama hajaajiliwa awe na uwezo kuendesha biashara (Staki goalkeeper)
Umri:
23-26
Umbo: Mwili wa saizi ya kati au kibonge ()
Kabila
Lolote lile kikubwa awe mtu wa kujitambua tu
Kwa ndani naomba mwenye Bwawa asiPM, Kitu kifinye na chenye Joto ()

NB: NIKO SERIOUS

NAWASILISHA
 
Mimi kwakweli nawashangaa wanaume wanaotafuta wanawake kwenye mitandao! Wee mwanamke wa kwenye mtandao ni mke kweli! Hao ni wadangaji, single mother, na walioshindikana. Mwanaume tafuta hela mabinti wazuri watajileta!
 
Kuna demu anadiploma yake ni demu wangu namkula ila tumeahidiana kuwa hatuta oana naye anatafuta mume. Kama vipi nikupe contact . Ila me hata ukimuoa nami ndakuwa nakula mzigo kiaina
 
Mimi kwakweli nawashangaa wanaume wanaotafuta wanawake kwenye mitandao! Wee mwanamke wa kwenye mtandao ni mke kweli! Hao ni wadangaji, single mother, na walioshindikana. Mwanaume tafuta hela mabinti wazuri watajileta!

Mmmh mi naamini hata huku wapo! Ngoja nisubiri bahati yangu
 
Mimi kwakweli nawashangaa wanaume wanaotafuta wanawake kwenye mitandao! Wee mwanamke wa kwenye mtandao ni mke kweli! Hao ni wadangaji, single mother, na walioshindikana. Mwanaume tafuta hela mabinti wazuri watajileta!
Ebu tutake radhi bwana huku ni kutukana walimwengu kwa kosa la mtu1 unaemjua ww

Wanawake wazuri hawajileti hata kama unapesa znamwagika kila ukicheka wanaojileta ni wadangaji jitafakari unachoandika usifate misemo ya wapuuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom