Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

I would like to ask the following questions, What are the factors considered by professional’s market markets at greater Banks when making exchange rate quotations for retail traders? How...
1 Reactions
1 Replies
461 Views
Mimi ni mwajiriwa kampuni binafsi hapa Dar, na mke wangu yupo serikalini ngazi ya chini kabisa ya mshahara. Nilifanya kazi yenye mshahara mkubwa miaka miwili iliyopita mikoani na nikafanikiwa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
dunian kila mtu anakilevi chake,asee mm pombe ndo kila ktu,kumaliza kreti 2 n chaap,zaman ilikuwa mm na wanawake wanawake na mm,nkaja kufumaniwa nko na mtoto wa binam yangu nkaacha. K VANT FOR...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni miezi minne (4) sasa tangu tuanzishe mahusiano na huyu Kaka kuna zawadi nilinunua kumpatia tangu niinunue mpaka leo ninayo na sijampa na moyo...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana, ni matumaini yangu kwamba mwaendelea vema. Binafsi sikuwahi kuamini kama urafiki unaweza kuuliwa na vitu vidogo kama kukopeshana, japo nilikuwa nasikia tu tangu nakuwa...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Tuachane na siasa kidogo kwa muda! Duniani, wanaume wanapoteza 'strong mentality' dhidi ya wanawake. Wanawake wanapaa Sana 'economically' dhidi ya Wanaume Wanawake wana fly Sana...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Dear Ladies, He won’t use condoms, yo use pills. why? Because he wants it natural? (Think of ovarian cancer and infertility). He gets you pregnant, you have aborted like 5 times 😢 why? Because...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waungwana habari zenu!nisipende kupoteza muda sana,mimi ninaumri wa miaka 33,mkristo,muajiriwa,natafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa kama tabia zake zitaridhisha Sifa 1)Awe mkristo wa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo; Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Inasikitisha/huzunisha sana kuona mwanaume anatumia hii kitu. Hii kitu kwangu me ni kama takataka lakin utakuta kuna wanaume wanatumia huu upuuzi na anajiita mwanaume rijali. Mwanaume...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Natafuta mchumba, awe maeneo ya mbeya umri 20-23, dini awe mkristo hayo muhimu mengine hayo ziada mwasiliano 0675575597
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi wanawake sijui mnawazaga nini na wengine sijui mna Akili ya Aina gani, Huyu demu nimemuopoa jumanne siku moja tu kabla ya X-Mass, siku mbili tu za Dating tayari anaomba Simu mpya(Kumbuka...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
WANAWAKE 1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza kimya, ukimya wa mwanamke humsumbua akili mwanaume. Atahisi kuna jambo fulani kichwani mwako na kama...
17 Reactions
67 Replies
6K Views
Najua kuna wanawake humu wanakubaliana na mimi kuwa kuna wenzao wameumbwa wakaumbika,Yani engineera aliyewaumba wao hakuchakachua cement wala tofali wala nondo, Ratio na Cement na mchanga ilikua...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
JESTER Amos Bulaya, mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), amedai mahakamani kuwa uhusiano wake na mbunge mwenzake wa Kawe, Halima James Mdee, “unafungwa na ujirani” wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Haya ni malengo yangu kwa 2020 Nina multiple relationships but technicaly na feel kama NIKO SINGLE Sjawai kua na tatzo la kukosa papuch..i get it weneva i want Kati ya hao wanawake wote hakuna...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilitukanwa sana last time nilipoleta uzi kuhusu huyu mwanamke kunifadhili, kwamba mimi ni marioo, kwamba napenda mteremko, kwamba mimi ni mshenzi wa shenzi na kadhalika ilimradi kila mtu aseme...
7 Reactions
88 Replies
12K Views
Ukifuatilia nyuzi nyingi, hasa ule wa kula tunda kimasihara, utagundua kuwa baadhi ya wanaojiita walaji kuwa na dhana ya kwamba wanawake ni cheap ndo maana wanaliwa kwa kile kinachoitwa...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Wasalaam, naomba kufahamishwa maeneo mazuri yaliyotulia yenye fursa ya kulima (kidogo) na kufuga katika wilaya zilizo karibu na Mbeya mjini.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom