Wanaume mnaotumia Snapchat

Wanaume mnaotumia Snapchat

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,512
Inasikitisha/huzunisha sana kuona mwanaume anatumia hii kitu. Hii kitu kwangu me ni kama takataka lakin utakuta kuna wanaume wanatumia huu upuuzi na anajiita mwanaume rijali.

Mwanaume aliyekamilika hawez tumia snapchat kwasabau snapchat imetengenezwa kwa ajili ya wanawake hata zile filters zake ni za kike, wew mwanaume unaetumia tukueleweje?

Ukichunguza kwa makini utajua wanaume wanaotumia hii kitu ni walewale, na wanaume wa dar ndo wanaongoza kwa kutumia hii kitu kati ya 10 basi 8 wana hii app.

Kiukweli huwa namshangaa sana mwanaume anaetumia snapchat!! Badilikeni maselaah.
 
Snapchat ni chakula gani?
 
Mbona Kila mtu Ana Uhuru wa kuchagua anachopenda.
Uliyoyandika ni invald.

Shubaamit!
 
Back
Top Bottom