Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Najua kuna wanawake humu wanakubaliana na mimi kuwa kuna wenzao wameumbwa wakaumbika,Yani engineera aliyewaumba wao hakuchakachua cement wala tofali wala nondo, Ratio na Cement na mchanga ilikua...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
JESTER Amos Bulaya, mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), amedai mahakamani kuwa uhusiano wake na mbunge mwenzake wa Kawe, Halima James Mdee, “unafungwa na ujirani” wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Haya ni malengo yangu kwa 2020 Nina multiple relationships but technicaly na feel kama NIKO SINGLE Sjawai kua na tatzo la kukosa papuch..i get it weneva i want Kati ya hao wanawake wote hakuna...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilitukanwa sana last time nilipoleta uzi kuhusu huyu mwanamke kunifadhili, kwamba mimi ni marioo, kwamba napenda mteremko, kwamba mimi ni mshenzi wa shenzi na kadhalika ilimradi kila mtu aseme...
7 Reactions
88 Replies
12K Views
Ukifuatilia nyuzi nyingi, hasa ule wa kula tunda kimasihara, utagundua kuwa baadhi ya wanaojiita walaji kuwa na dhana ya kwamba wanawake ni cheap ndo maana wanaliwa kwa kile kinachoitwa...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Wasalaam, naomba kufahamishwa maeneo mazuri yaliyotulia yenye fursa ya kulima (kidogo) na kufuga katika wilaya zilizo karibu na Mbeya mjini.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanajamvi hamjambo Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae...
2 Reactions
129 Replies
10K Views
Nimesoma kwa jamaa akitaja kanuni/sera za mabaharia mwaka 2020. Naona utakuwa mwaka mgumu sana kwa masister du. 1. Hakuna kuoa single mother. Huyo ataolewa na aliyempa mimba. 2. Watoto wazuri wa...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
KWA NINK UNAKOSA RAHA Mapenzi yanaweza kukufanya ukakosa furaha na kupoteza amani ya maosha. Bila kuwa na amani katika nafsi yako huwezi kufanya kazi kwa bidii, huwezi kusoma vizuri huwezi...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Tahadhari kabla ya ajali, Hizi mambo za kujifanya mna mapenzi sana mpaka mnaua watoto wa watu ziishie hapa 2019. Tumechoka kuja kuwaona gerezani. Tunakumbushana tena usisomeshe mwanamke. Kama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Uzi umeishia hapo. The end, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi, nasikia kuna uchawi ambao mwanaume ukifanyiwa, hautapata demu wala mke, hata kama ww mwanaume ni handsome na una hela, utaishia kuponea kwa malaya wanaojiuza ili kujipooza kingono.. Nasikia...
4 Reactions
41 Replies
9K Views
Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Bila kukatakata wala kumung'unya maneno, niseme ukweli wangu tu mimi ni sex lover, yaani ni mmoja kati ya wale watu wanaopenda ngono kupindukia. Nimejipima kupitia haya naweza ku-sex usiku kucha...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Salamu nyingi sana kwenu [emoji1787][emoji1787] [emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
540 Views
Mwanaume wangu amekua akiniimbia kuniolea mke mdogo eti mara oooh nataka kuzaa mtoto mwingne ili walingane nahuyu wamienzi miwili mara hoo sijui iliakusaidie anayumba yumba simwelewi na mara nying...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Za mda huu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Hivyo RAFIKI wa kuchat naye na kubadilisha mawazo pale nafasi inapoatikana, Ni vizuri asiwe mtu wa mambo mengi na atoe ushirikiano mzuri...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wewe unae tafuta mke njoo kwangu bado mti umekosa mjenzi Nitakupenda na kukulinda daima
13 Reactions
58 Replies
6K Views
Nimeongea na kijana hapa dereva wa bajaji ananiambia huwa anapeleka mke na mume kuchepuka guest kwa wakati tofauti na hakuna anayejua mwenzake anachepuka. Anasema mke huwa anaenda kuchepuka...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Hellow, Naitwa Nasibu Nina umri wamiaka 26, elimu Bachelor,nahitaji mwanamke wa kuoa lakn vigezo vfuatavyo vizingatiwe 1.Mwislam 2.umri 23-32 3.awe tayr kwa sasa NB:alyoko tayari aje inbox 0747631486
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom