Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ashura amejikuta anachezeshewa vitasa non- stop na mume wake jioni hii ya leo baada ya kumwambia mumewe kuwa hana msimamo kama Seleman Jaffo. Mume amedai hilo ni tusi kubwa sana na hawezi...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za weekend wana jamvi? Samahani ninahitaji kufahamishwa mambo kadhaa na waungwana humu kuhusiana na maswali niliyonayo; _Hivi fastjet bado wanaendelea na ile route yao ya kutoka Dar kwenda...
1 Reactions
42 Replies
17K Views
It's a new day a new dawn Another day another blessing On this very special day before the sunrise I want to wish you happy birthday. Just like the day doesn't start without the sun, my life...
11 Reactions
122 Replies
10K Views
Ukiingia mitandaoni utaona baadhi ya watu wakijinadi kusoma vitabu vingi zaidi kwa mwaka huu,vingi vikiwa vya lugha ya kimalkia na majina magumu magumu,vyenye jumbe na tamaduni za tunaoita...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa uzoefu wangu na hali ya maisha ilivyo kwa sasa 95% ya mademu/wadada wanaendekeeza njaa kali kuanzia kuomba kodi , ada,hela ya kusuka, simu , sare za sherehe nk nk....sasa miezi kama minne...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hopefully mko poa Hii thread ni special kwa kuaga mwaka huu 20119 Najua wapo wengi ambao tulipishana kauli iwe direct or indirect, am here to apologize Hawa ni baadhi ya ambao tulipishana...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba tu niandike mazungumzo yangu na huyu dada ambaye alikuwa rafiki yangu kwa muda wa mwaka na nusu sasa. Jana tulivunja urafiki wetu wa mashaka rasmi. YEYE: mambo! Upo wapi? Mimi : just...
20 Reactions
61 Replies
11K Views
Wakuu, habar za weekend. Leo naomba kuuliza wanandoa waliopo humu, hata wale ambao bado mabaharia mnakaribishwa sna maana nyie ndo wahanga wakubwa wa hili suala. Mwanzon munakuwa na mapenzi...
10 Reactions
98 Replies
11K Views
Alan na Chausiku waliishi mtaa mmoja Mbagala. W alipenda na na kuelewana sana. Wote walikuwa wanahangaika na maisha baada ya kumaliza darasa la 12. Alan alisoma St Patrick Primary, Ali kupigwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Utandawazi umekuja na changamoto zake. Ni ukweli ulio wazi kutokana na life struggle tumejikuta wengi wetu hatupati muda mzuri wa kusocialize kwa upana wake kiasi inakuwa ngumu kupata mwenzi na...
11 Reactions
293 Replies
27K Views
Habari wana JF, Mimi ni mwanamke mwenye ulemavu na nina umri wa miaka 45 sasa, nimeolewa nina watoto wawili. Nina miaka 15 sasa tangu niingie kwenye ndoa naona kila siku inavyosonga magumu ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau! Wanawake huwa wananifurahisha sana wanapotulalamikia wanaume kuwa hatuna mapenzi ya dhati. Ukweli ni kwamba "kila mwanaume ana mapenzi ya dhati kwa mwanamke anayempenda kweli", Je...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Asikuambie mtu, michepuko inaumia Sana ikiona familia yako ina furaha. Haijalishi ni michepuko ya jinsia gani. Iwapo utaweka status za familia yako ikiwa na furaha, ujue kuna maumivu upande...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
kwa upande wangu kuna manzi moja hivi ilinivutia sana, inajua mambo yani ile asubuhi tuu kabla hata ya mswaki unapigwa denda mpaka mdomo unakua mwekundu. halafu ni mtu wa kutoa sana, ashanipa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Hakuna mwanaume aliye single ambaye kila siku akitoka nyumbani kwake anajisemea ngoja nitafute mke kama vile anavyotafuta funguo, simu au fedha aliyopoteza. Haipo hiyo. . Mwanaume siku zote...
1 Reactions
3 Replies
902 Views
Hellow wana Jf, salam kwenu. Namtafuta msichana ambae namkumbuka kwa jina moja tu Selina, ni mtu wa mbeya. Nilipotezana naye tangu mwaka 2011. Yeye ni graduate wa Computer Science Udsm mwaka 2011...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu leo ni muendelezo wa yule kaka king'ang'anizi. Nimeamua kumuacha ili nisije kumuumiza huko mbele ya safari. Nimechukuwa maamuzi hayo kutokana na mwanzo wa mahusiano yetu aliniambia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakuandikia haya kukupa mkono wa kwakheri Rafiki yangu, nimeishi nawe kwa muda mwingi sana. Siku ya kwanza ulipo kuja kwenye maisha yangu nilijua nimepata Rafiki bora kabisa, lakini...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nina safari ya siku mbili katika mji wa Bujumbura Burundi. Wenyeji wa eneo hilo nipeni muongozo wa sehemu nzuri ya kufikia isiyozi 50k kwa kulala na sehemu nzuri za kutembelea pamoja na mambo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom