Lugumgya
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 629
- 1,997
Ukifuatilia nyuzi nyingi, hasa ule wa kula tunda kimasihara, utagundua kuwa baadhi ya wanaojiita walaji kuwa na dhana ya kwamba wanawake ni cheap ndo maana wanaliwa kwa kile kinachoitwa kimasihara.
Dhana hii ni potofu, kwamba wewe unaekula siyo cheap? U-cheap unaozungumzwa ni dhana tu (stereotype) ambayo inazaliwa kutoka kwenye lugha; kula na kuliwa! Utengamano wa lugha ndo unazalisha upotoshaji huu, wakati ukweli ni kulana! Kama unakula ujue na wew unaliwa! Kama umekula cheaply basi na nawe umeliwa cheaply!
Mtu anasema " Hivi kwa nini Wanawake wa siku hizi mmekuwa 'Cheap' kiasi hiki?" Anauliza hivi akisahau kuwa ndege wafananao ndo wanaruka pamoja! You got her cheaply because you are also cheap!
Lakini pia, kumpata mwanamke kwa urahisi, si lazima awe cheap, is a combination of several factors. Unaweza kuhisi wew ndo umempata cheaply kumbe yeye ndiyo akawa amekupata cheaply.
Unaweza kuhisi umekula kimasihara kumbe wewe ndo umeliwa kimasihara. Lakini kwa kuwa unahisi neno kula ni superior than kuliwa, unajihisi mjanja, na siyo cheap. Wewe pia ni cheap aisee!
Mwanamke ametoka kwao kaenda kukaa bar, anasubiri wanaume cheap, mwanaume cheap unafika unanunua Smirnoff, afu unaenda kulipia lodge mnakulana, nani cheap kati yako na huyo mwanamke?
Dhana ya 'cheapness' inakuja kutokana na socialization na kwamba women are historically and socially disadvantaged but in normal circumstances wao nao kama binadamu wako kwenye mawindo kama tu wanaume walivyo kwenye mawindo, sema mfumo wa jamii ndo unawazingua. So ikitokea amepatikana cheap wake anakukula kimasihara afu wewe naye unakuja kupotosha kuwa umekula kimasihara, wakati wewe ndo umeliwa kimasihara! Eti wewe unajiona uko 'dear' afu yeye yuko 'cheap', hapana!
Mwisho kabisa hakuna mwanamke cheap bila mwanaume cheap. Tusitumie misamiati ya maneno kuwabagaza, huku sisi tukijikweza eti kisa neno "kula na kuliwa" ni kulana tu!
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app