Hivi wanawake wengine mkoje ata mchakato mmoja bado mnaomba Simu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Hivi wanawake sijui mnawazaga nini na wengine sijui mna Akili ya Aina gani,
Huyu demu nimemuopoa jumanne siku moja tu kabla ya X-Mass,
siku mbili tu za Dating tayari anaomba Simu mpya(Kumbuka ana simu nyingine anayo anatumia),

Kusema kweli hajawahi kuja gheto na wala sijamchajata bado,
Jana nimemuomba aje kwangu kasema hana Muda,
Leo mchana kanicheki baada ya text mbili tatu akaingizia hiyo ya kuomba Simu sijui ya YOYO mimi ata siijui nikamuitikia tu,

Lakini hapo hapo nikachomokea kumuomba Aje Gheto kasema Hawezi kuja?
Serious sijapiga ata mchakato mmoja alafu ninunue Simu?
IMG_20191227_151717_071.jpeg

IMG_20191227_151535_507.jpeg

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee mwambie aje kuchukua iko gheto mchakate alafu achana nae
Hivi wanawake sijui mnawazaga nini na wengine sijui mna Akili ya Aina gani,
Huyu demu nimemuopoa jumanne siku moja tu kabla ya X-Mass,
siku mbili tu za Dating tayari anaomba Simu mpya(Kumbuka ana simu nyingine anayo anatumia),

Kusema kweli hajawahi kuja gheto na wala sijamchajata bado,
Jana nimemuomba aje kwangu kasema hana Muda,
Leo mchana kanicheki baada ya text mbili tatu akaingizia hiyo ya kuomba Simu sijui ya YOYO mimi ata siijui nikamuitikia tu,

Lakini hapo hapo nikachomokea kumuomba Aje Gheto kasema Hawezi kuja?
Serious sijapiga ata mchakato mmoja alafu ninunue Simu?
View attachment 1304785
View attachment 1304786

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be gentleman sawa, nunua hiyo yoyo sijui toyo, acha ubahili, ila kuna wimbo unaimbwa "kanunua simu kampa demu walivyoachana......................... ......"
Mood ya leo ni kuandika andika tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukijua kuchakata , ujue na kuhudumia.
 
Hivi wanawake sijui mnawazaga nini na wengine sijui mna Akili ya Aina gani,
Huyu demu nimemuopoa jumanne siku moja tu kabla ya X-Mass,
siku mbili tu za Dating tayari anaomba Simu mpya(Kumbuka ana simu nyingine anayo anatumia),

Kusema kweli hajawahi kuja gheto na wala sijamchajata bado,
Jana nimemuomba aje kwangu kasema hana Muda,
Leo mchana kanicheki baada ya text mbili tatu akaingizia hiyo ya kuomba Simu sijui ya YOYO mimi ata siijui nikamuitikia tu,

Lakini hapo hapo nikachomokea kumuomba Aje Gheto kasema Hawezi kuja?
Serious sijapiga ata mchakato mmoja alafu ninunue Simu?
View attachment 1304785
View attachment 1304786

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua simu ya YOYO wewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua simu wewe acha lawama humu..

~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom