Siku za sikukuu sitokagi. Jana nimetoka kuna masela nliwakuta wakawaita mademu flani wawili wakawapa bia wakabadili wakachukua energy. Kuviangalia vitoto yani daah.
Kumbe mmoja anapajua mpaka...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa upande wangu hakuna ila nilikiona kwa rafiki yangu, alimnunulia mpenzi wake gari ikiwa yeye mwenyewe hana.
Uhusiano wao haukudumu baada ya huyo mpenzi wake...
Habari wadau,
Kuna siku rafiki wa karibu alikuja kunipa taarifa kuwa kamkuta mpenzi wangu na dada mmoja ambaye ni malaya sana.
Na aliwakuta barabarani wamesimama na akahofia kuwa kuna ishu...
Umri wangu ni miaka 25 ambayo nimetimiza mwezi uliopita. Nmepitia katika mahusiano na watu kadhaa yakiwepo serious na yale ya one night stand. Sijafikia muda muafaka wa kuoa lakini kwa kiasi...
Namaanisha mdada awe na zaidi ya miaka 32 na kwa mwanaume miaka 40
Hasara zake ni hizi hapa
1. Kwa Wadada:
Menopause now starts earlier. Sifahamu hii hali ni sababu za kimazingira ama nini...
Siku kadhaa hapo nyuma kuliletwa na uzi unaoongelea bikra. Uzi huo ulisema bikra ni kapu la ndoa. Uzi ule ulijadiliwa kwa mihemuko kwa kufuata jinsia kwa kila mmoja. mpaka uzi ule ulifika mbali...
Huwa nashangaa sana kuona binti anachukuliwa na mwanaume wanakubaliana kuishi pamoja bila hata ndoa, na cha ajabu utakuta masikini ya Mungu binti huyo anaishi na jamaa huyo akiwa hamjui ndugu...
Samtaim mwanamke unaweza ukamkwaza kidogo ama bila sababu yoyote ya msingi akaanza kujinunisha na kujisemesha na kukutuhumu.
Basi ewe mwanaume usiumize kichwa, huyo huenda kuna kitu kimemkera nje...
Hili swali kuna mtu katandikwa na member wa kuitwa Hawachi kwenye thread moja hivi.
Yule jamaa sijui alimjibu nini, nikasema hivi kwa mfano hilo swali ningeulizwa mimi, ningejibuje?
Kusema la...
Kiukweli siku haikuwa mbaya, na nikiwa pale sebleni watoto wetu wote sita walikuwa wenye furaha na amani tele, na hasa yule mkubwa wa kiume alikuwa akitaniana na mama yake kwa upendo wa hapa na...
Awali nilikuwa nikisia kama simulizi flani, lakini kuanzia miaka ya 2015 mpaka sasa, nime shuhudia na kuthibisha hizi taarifa za wana ndoa kujenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua kuwa ni za...
Habari wanajamii, poleni kwa majukumu ya kutwa nzima ya leo.
Jamani naombeni mnisaidie nini cha kufanya nana roho inaniuma sana kwa jambo hili. Kuna ndugu yangu naishi nae mtaa mmoja ila...
Wasalaam,
Leo nimeshindwa kuvumilia, nimeamua tu niwaulize wahusika wenyewe huu mkanganyiko.
Katika pitapita zangu imekuwa kawaida kuona wadada wazuri na warembo haswa wakisalimiwa wanajibu kwa...
1. Kuna jambo huwezi ficha: Kuna jambo hata ukijaribu kulificha, ukweli wake utajulikana tuu hususani kama utakuwa na mahusiano ya muda mrefu na mtu husika. Jambo hilo ni ukweli kama unampenda kwa...
Mwaka flani siku kama ya leo nlikuwa TZ Nakumbuka siku hiyo nlikuwa ndani ya Benz pembeni yangu yupo my girlfriend nmetoka mgahawa flani pale posta kwa wasomali pembeni ya Round about kama unaenda...
Bi mkubwa amenishauri ni bora nichepuke na mke wa mtu kuliko kuchepuka na mabinti.
Nikamuuliza kwa nini unasema hivyo? Jibu alilonipa ni kuwa, mke wa mtu hawezi kuvunja ndoa yangu na pia huwa ni...
Ni mwanamke wa kwanza kumjua maishani .. Na ndio amekuwa mke wangu ... Ndio demu wangu wa kwanza 1999 primary za kinguonguo) na mpaka leo ndio mke wangu nlikutana nae tena 2002 ...Wa ndoa ...
Nilipata beki tatu mpya baada ya wa mwazoni kuondoka
Kusema kweli mabeki tatu Ni changamoto huu mwaka nimekuwa na mabeki tatu wanne huyu Ni wa tano.
Wengine niliwatoa maana walikuwa wanagegedwa...
Mwezi wa 11 niliagiza msichana wa kazi toka kijijini, toka amewasili nimeibiwa sh 120,000, kisha 57,000, ikaja 30,000 na leo kamaliza na 10,000.
Baada ya mkwara mzito akaiweka kwenye begi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.