Miss Jay
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 211
- 174
Habari za weekend wana jamvi?
Samahani ninahitaji kufahamishwa mambo kadhaa na waungwana humu kuhusiana na maswali niliyonayo;
_Hivi fastjet bado wanaendelea na ile route yao ya kutoka Dar kwenda South Africa?
_Kama hawaendelei,,,maana nimejaribu kutazama kwenye website yao sioni flight za hiyo route,,je tofauti na fastjet ni ndege gani ambazo ni cheap zinazofanya trip ya Dar to Joburg?na makadirio ya bei kwa tiketi ya round trip ni kiasi gani i.e going and return
_Nitahitaji visa kwanza kabla ya kuingia Afrika Kusini au passport yangu tu inatosha?
_Kwa makadirio safari inaweza kuchukua muda gani kutoka Dar hadi kutua Johannesburg?
_Kuna mabasi ambayo yanafanya route ya Dar to Joburg na inachukua muda gani?na pia makadirio ya nauli yakoje?na nchi tutakazopita ntatakiwa kuwa na visa au passport tu?
Najua wengi humu mnaweza kunisaidia information nzuri za kunisaidia,,,natanguliza shukrani za dhati kabisa kutoka moyoni