Ukweli kuhusu wanawake wanaolalamikia wanaume

Ukweli kuhusu wanawake wanaolalamikia wanaume

FEARLESS

Senior Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
160
Reaction score
131
Habari wadau!

Wanawake huwa wananifurahisha sana wanapotulalamikia wanaume kuwa hatuna mapenzi ya dhati.

Ukweli ni kwamba "kila mwanaume ana mapenzi ya dhati kwa mwanamke anayempenda kweli", Je wanawake wanafeli wapi kumpata mwanaume mwenye upendo wa kweli?

Ukweli muhimu ni huu hapa," Mwanamke anapotongozwa na mwanaume huwa anajua mapema kabisa kama huyo mwanaume anampenda kweli au anamdanganya, kwa nini? Kwa sababu mwanamke ana "high emotional intelligence". Kwa ufupi, mwanamke amezaliwa na kipaji cha upelelezi.

Kwa nini baadhi ya wanawake huwakataa wanaume wanaowapenda kweli? Mwanamke ana umri wake anaokuwa anapendwa sana na wanaume wengi,
Mmimi nauita " Age of War" "umri wa vita" kati ya miaka 16-30. Kipindi hicho mwanamke ukimpenda hawezi kukupenda hata siku moja kwa sababu ni kipindi cha vita kwake na wanaume, kwa hiyo ukimpenda unakuwa koloni lake/mtumishi au mtumwa wake; unachotakiwa kufuata anachotaka yeye sio unachotaka wewe.

Kwanini baadhi ya wanawake huwapenda wanaume wasiowapenda?

Katika kipindi cha umri wa vita miaka 16-30, mwanamke huonyesha upendo sana kwa mwanaume asiyempenda, unajua ni kwa nini? Kwa sababu mwanaume asiyempenda kwake ni mwanaume wa vita, mwanamke anakuwa anajua kabisa huyo mwanaume hampendi ila anachokifanya ni kupigana vita ya kuhakikisha huyo mwanaume anampenda kweli na kumfanya kuwa koloni lake/mtumishi au mtumwa wake.

Sasa kizaazaa kinapokuja pale anaposhindwa vita na kuwekwa mateka au kufukuziwa mbali na huyo mwanaume asiyempenda, hasira zake zote huzihamishia kwa mwanaume anayempenda ambaye ndiye koloni lake/mtumishi au mtumwa wake.

Note: Kila mwanamke anamjua mwanaume anayempenda kweli; ukitaka kuamini hilo, wanawake wanapovuka umri wa vita na kuingia kwenye "Age of peace" miaka kuanzia 31 na kuendelea huwatafuta wanaume wa zamani waliokuwa wanawapenda kweli ili wakatawale makoloni yao. Waingereza wana msemo wao "Nice guy finish last", lakini pia "Age of war", kwa baadhi ya wanawake huisha mapema hata 25.

Ukimpenda mwanamke ambaye yupo kwenye "Age of war ", hawezi kukupenda kwa sababu tayari wewe umeshashindwa vita na wakati yeye anahitaji mwanaume wa kupigana nae vita.

Mapenzi ni vita ya kiintelejinsia anayeshinda ndio anakuwa mtawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kuntu 17-28 ni foolish period kwa wadada huwa na vita vya wanaume wa kila aina so mwny bunduki nzito hushinda vita na kubeba koloni
 
Umeongea kuntu 17-28 ni foolish period kwa wadada huwa na vita vya wanaume wa kila aina so mwny bunduki nzito hushinda vita na kubeba koloni
 
pia wanawake tafuteni pesa zenu na sio kutegemea za mwanaume
 
Kwenye umri wa miaka 15-30 mdada huchagua the most handsome man she can get.., kipindi hiki cha umri, wadada wengi hupenda kubadilisha ladha ya dushe, na hao wanaume ma-handsome wanakuwa hawana malengo na hao wadada, so wadada wakiona jua linakaribia kuzama na hawana option ndo hutafta wale wanaume wasio na mvuto, ambao pia wengi wao wanakuwa wako vizuri kifedha (nice guys) ili tu waolewe nao.. politicians
 
Back
Top Bottom