Kwaheri 2019

Kwaheri 2019

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,121
Reaction score
4,855
Hopefully mko poa

Hii thread ni special kwa kuaga mwaka huu 20119

Najua wapo wengi ambao tulipishana kauli iwe direct or indirect, am here to apologize

Hawa ni baadhi ya ambao tulipishana kauli
Demi
Zero @IQ
joanah

Ntaomba mnisamehe ili tuanze mwaka mpya kiroho safi, bila hiyana, bila kinyongo na bila eagle yeyote

Kama na wewe pia kuna member mlikwaluzana kidogo, tukutane hapa kwene hii thread ili tuanze mwaka kwa Amani

Love you all

By by 2019
 
Usijari mkuu ila sidhani kama nami nilirudisha kwa maneno ya kuudhi kama ni hivyo basi nisamehe pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bye bye 2019Haukuwa mwaka mzuri sana kwangu ila kwa Uwezo na nguvu za Mungu aliyeniumba unaishilia nikiwa nadunda nao.

Nitauaga baadae kanisani kwa machozi kabisa nijiandae kumpokea mwaka mpya Twenty Twenty a.k.a 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu tuwekeze nguvu kubwa kwene kutafuta, ata kama mambo yataenda kombo kiasi gani
 
Hopefully mko poa

Hii thread ni special kwa kuaga mwaka huu 20119

Najua wapo wengi ambao tulipishana kauli iwe direct or indirect, am here to apologize

Hawa ni baadhi ya ambao tulipishana kauli
Demi
Zero @IQ
joanah

Ntaomba mnisamehe ili tuanze mwaka mpya kiroho safi, bila hiyana, bila kinyongo na bila eagle yeyote

Kama na wewe pia kuna member mlikwaluzana kidogo, tukutane hapa kwene hii thread ili tuanze mwaka kwa Amani

Love you all

Kwaheri 2019
Apology Accepted! Happy New year.
 
Back
Top Bottom