Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,424
Alan na Chausiku waliishi mtaa mmoja Mbagala. W alipenda na na kuelewana sana. Wote walikuwa wanahangaika na maisha baada ya kumaliza darasa la 12. Alan alisoma St Patrick Primary, Ali kupigwa ada na mjomba wake. Mke wa mjomba alipo lets unoko iAlan alipopata div IV ya ma gentleman ilibidi mjomba aachane na Alan baada ya kumlipia ada Utaali College.
Alan alipata kazi kwenye mgahawa mmoja huko Masaki. Kwa u Handsome aliyonao kuna mdada wa Kizungu alimuelewa sana. Yule dada alikuwa Expatriate.
Mapenzi yalikolea Alan alihamia Masaki kwa Mzungu. Mapenzi yake na Chausiku yaliendelea kwa siri na aliweza kumlipia ada kwenye shule ya ushonaji.
Mzungu akisafiri kikazi Alan alimuita Chausiku Masaki wakale mema ya nchi. Alimpeleka kula KFC, Subway na Samaki Samaki.
Siku moja Mzungu aliondoka kwa safari ya siku tatu kwenda Nairobi. Akiwa kule kesho yake alipigiwa simu anahitajika haraka kazini. Ilibidi arudi haraka kwa ndege. Alan na Chausiku wakiwa wanaenjoy movie kwenye smart screen ya 60” wanasikia gari inapack.
Alan alimuambia Chausiku asipanick, afungashe mizigo yake taratibu na aondoke. Alan alimuwahi dada wa Kizungu akiwa anashuka kutoka kwenye gari alimuambia ana suprise yake Waingereza kwenye gari akamuonyeshe.
Alimpeleka Sinza Africa Sana akachague nguo. Wakati Chausiku anafunga mizigo yake na kubamiza mlango..