Asikudanganye mtu, Hakuna urafiki wa Mwanaume na Mwanamke mzuri.Jana ndo TUMEVUNJA RASMI URAFIKI wetu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Naomba tu niandike mazungumzo yangu na huyu dada ambaye alikuwa rafiki yangu kwa muda wa mwaka na nusu sasa. Jana tulivunja urafiki wetu wa mashaka rasmi.

YEYE: mambo! Upo wapi?

Mimi : just cool. Nipo home my dear
Yeye: upo busy sana?au umepumzika na hii mvua

Mimi: nipo tu rafiki kipenzi nimejichoka tu akili nmejilaza

Yeye: ha ha ha....natamani nikuone ulivyojilaza

Mimi : una kichaa kweli wewe umwone rafiki yako halafu iweje?maana angalau ungekuwa....

Yeye: Nyooo ! rafiki utakuwa wewe? Hivi unadhani huwa sikuoni unavyonitizama kwa matamanio?fala kweli wewe...unadhani sijui?

Mimi: aaaah wapi.mi nakuchukulia kama rafiki kipenzi basi.

Yeye: nikikupa k**a huto**i ?

Mimi: naitizama tu my dear.maana ulishaniambia mimi mhuni tuwe marafiki tu.

Yeye: nakuja sasa kwako unito**e nina hamu kama nini.

Mimi: usinijaribu Asha.... Niache tu mwenzio sina la kufanya naugulia tu kukosa nanii muda mrefu.usije nitia hamu then ukaniacha nateseka.

Yeye: acha ufala, unataka kutomb* hutaki?

Mimi: nataka.

Yeye: nakuja.

Kweli baada ya saa moja nikasikia kengele ya getini inalia kwenda namkuta rafiki yangu Asha amesimama getini.nkamfungulia.

Tumevunja urafiki wetu jana rasmi. Sikutegemea maana huyu demu alikuwa ananambia mimi ngemfaa ila tatizo sijatulia so hataki mtu pasua kichwa.akawa na jamaa yake mtulivu mwanasheria.jana tumeanza mahusiano.
 
Back
Top Bottom