Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sehemu ya kwanza N-njoo D-Duniani O-Ongeza A-Amani Kwenye amani kuna upendo, kwa hiyo mnapoingia kwenye ndoa mnaongeza Amani na mnaongeza Roho zitakazopingana na shetani pindi mtakapopata uzao...
4 Reactions
20 Replies
6K Views
Kwema wakuu!! Mm ni kijana wa kiume umri ni 25 nipo chuo fulani mwaka wa tat kozi moja ya biashara, Sasa kuna huyu dada tulijuana tangu akiwa first year yy yupo degree ya nursing kwasas nae yupo...
18 Reactions
217 Replies
29K Views
Kuna hili suala la wanaume kugharamia sehemu kubwa ya maisha ya mwanamke na bado mwanamke anaendelea kugawa uroda Kwa vijana wengine na ikiwezekana vijana wenyewe hawagharamii chochote inauma...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Nilikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, nilipata mualiko kutoka kwa mwanafamilia. Niliingia American Embassy nikajaza fomu wakati huo kila kitu kilikua manually. Baada ya kujaza fomu na kuikabidhi na...
32 Reactions
63 Replies
9K Views
_**Habari, kwajina naitwa jonas Nina umri wa miaka 33-40 natafuta mke wa kuoa. Naishi Dar Kwa Sasa, Mwanamke awe n'a miaka 36-42. Sina ubaguzi wowote karibu sana, Ni pm Kwa mawasiliano zaidi.**_
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habarini za mchana, leo napenda kuelezea kidogo tuu jinsi kukua kwa tecnolojia kunavyo athiri mahusiano mengi baina ya mwanamke na mwanaume. Kama una mke, mume, mpenzi na kwenye simu yake...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu kuna jambo linanitatiza nahitaji mawazo yenu. Kwenye maisha yetu ya kila siku marafiki na wapenzi ni watu muhimu sana kila mtu kwa wakati wake. Kuna wakati wote wanakuwa wanakuhitaji muwe...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba...
6 Reactions
107 Replies
11K Views
Mimi ni mwanamke Nipo kwenye mahusiano ya kuishi pamoja kupika na kupakua na mwanaume Mwenye miaka 45 kwa muda wa miaka 3 Huku tulipanes Mipango yakuoana. Wakat tunaanza alidai Ana watoto 2 (ke na...
6 Reactions
106 Replies
12K Views
Katika safu hii ya malezi leo tunaangazia suala zima la kuporomoka kwa maadili ya mtoto ndani ya familia na kwenye jamii. Mara nyingi jamii ya Tanzania imekuwa ikimtupia lawama nyingi sana mzazi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Binafsi sio msomaji sana wa vitabu ila nikipata muda wa kusoma vitabu napata viwili vitatu maisha yanasonga, nimekutana na watu mbalimbali wakitoa ushuhuda kuwa kusoma vitabu kumewasaidia sana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mambo vipi Naomba kufahamishwa, mambo ni ya msingi sana kwa kijana wa kiume kujiandaa, kabla hajaingia kwende maisha ya ndoa.. Maana nina plan za kuoa mwakani, kwahyo nijiandae na vitu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
usije ukajilaumu kwa nini hukunipa msaada wa kuweza,.....kuweza kuzama chumvini ili nami niimalishe ndoa kama nyie!! jamani, kila nikijaribu nashindwa! nataka kutapika.....napata mfadhaiko wa...
8 Reactions
131 Replies
11K Views
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo, Nimefikia uamuzi wa kujiunga baada ya kuelezwa na jamaa yangu wa karibu ambaye ameweza kupata mwenza kupitia mtandao huu. Lengo langu ni kutafuta mwenza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wengi tumewahi kutamkiwa / kuwatamkia watoto maneno makali au machafu ambayo baadae tukiyatafakari hatuamini kama hayo maneno yametoka vinywani kwetu. Ni mara nyingi tunatamkiana maneno kama "...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Juzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1610932/ Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Hakuna cha shetani alinipitia wala kisingizio cha kipuuzi!! Nyege zako zilikuzidi akili ukawa huna tofauti na mnyama, watu wanamshukuru mungu wanapotafuna wanawake bila kujua wanamaliza pesa ila...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Aman iwe juu yenu wakuu Wanaume tunapigwa bila kujua sijui hatuna akili sijui kimbele mbele chetu Jana nimepita pale Mabatini Mwanza nikapiga mchuchu kwa buku mbili tu nikasepa zangu, nikarud...
30 Reactions
196 Replies
30K Views
Kuna mchepuko mmoja bwana, nina kama miaka nao miwili hivi. In such sio mzuri wala nini ila ni ile kupozea njaa tu maisha yanaenda. Kuna kipindi niliwahi kabisa kuishi nao kama mume na mke but...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom