Hivi michepuko akili zao huwa zinawatosha?

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,304
Reaction score
5,001
Kuna mchepuko mmoja bwana, nina kama miaka nao miwili hivi.

In such sio mzuri wala nini ila ni ile kupozea njaa tu maisha yanaenda. Kuna kipindi niliwahi kabisa kuishi nao kama mume na mke but tukashindwana tabia.

Nikaona niubakize tu kuwa mchepuko na wenyewe ukakaubali, sasa sasa hivi umehisi kuwa kuna mwanamke mwingine ninaishi naye kama kusomana tabia ili baadaye aje kuwa mke wangu.

Eti leo unaniambia hautaki tena ku-share, mara nimfukuze huyo mwanamke. Halafu eti anipe hela yake niende kwao nikajitambulishe nikamwambia, "I am sorry, sipo tayari"

Japo kweli ndugu zake wengi wananifahamu ETI UNATAKA NIUOE KWELI, huu si uchizi? Yaani mimi nitupe friji nje halafu ninue deli la barafu ndani[emoji847][emoji847][emoji847] kwa ajili ya kupozea vitu!

Huuu si ujinga, nimegundua huu mchepuko unataka kuvuruga maisha yangu; nimeamua kuublock kabisa.

Na laki yangu na nusu nilikuwa nimepanga kuupa kesho kuusaidia kwa ajili ya pango la nyumba sitoi tena; nimeenda kuchoma na kitimoto kabisa, sitaki ujinga!

Wakati mwingine tunachezewa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo michepuko imekua sio tena jamani [emoji25][emoji19][emoji30] mnavoisifiaga humu ndani [emoji119]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom